juuu mama sio mwenzetu kansas..hana vina sana vya kuwa mwana ccm...juuu ni mwana ufipa aliyechangamkaMataga muacheni mama atuongoze bila ukatili. Hao masikini watapataje ajira bila matajiri kuanzisha biashara.
ukatili gani kwani uko Nyuma ulikua wafanyiwa ukatili gani? kwahiyo saiv inakuingia bila ukatiliMataga muacheni mama atuongoze bila ukatili. Hao masikini watapataje ajira bila matajiri kuanzisha biashara.
mwisho wa juu ujinga ni 2025... soon tu yani .ukatili gani kwani uko Nyuma ulikua wafanyiwa ukatili gani? kwahiyo saiv inakuingia bila ukatili
non sense
Mataga na Wanyonge mtaishi maisha magumu sana iwapo mtaendelea kuomboleza, badala ya kuamka na kufanya kazi. Hakuna tena ugali wa bure kwa sasa. Fanyeni kazi kwa bidii ili na nyinyi muwe matajiri. No way out!!
Waziri wa mambo ya ndani anafanya nini? Na IGP anafanya nini na maaskari wake? Hebu waunde kikosi kitembee mtaa kwa mtaa kujua kazi ya kila mtu na suspect awekwe kwenye kikaango cha ujunguzi mbona huo wizi utakwisha.
AhhahahaView attachment 1809411
Tuache unafiki ... ..... ....
Wakati wa kuingia na maongezi Covid -19 imeshamiri.
View attachment 1809414
Wakati wa kuagana Covid-19 Imekwisha .... .
View attachment 1809420
Rais SSH Wacha unafiki! Mwenyezi Mungu anakuona.
Watu wanasubiri uchambuzi wake. Maneno ni mengi na hujirudiaeudia.Kwa mara ya Kwanza GENTAMYCINE nashuhudia Watanzania wakiwa wala hawana Habari na Hotuba ya Bajeti Kuu huko Dodoma (Leo) na pia wala hawana Habari na Mechi muhimu ya Kirafiki kati ya Tanzania na Malawi Jumapili hii ijayo...
Ombi lako tayar tumemtoa nani mwingine unamtakaHawamtaki mzee wa bakora