... Marekani cities zote almost ziko sawa in terms of infrastructure, services, hospitality, and the like. There is no significant difference kati ya NY, DC, Los Angeles, Houston, etc. Chadema wakizungumzia sera ya majimbo ili kuwe na ushindani wa maendeleo; miji ikue kama hawaeleweki vile.Binafsi nashangaa sana...hatuwezi diversify maendeleo ya nchi hii kwa kubaki na mentality ya Dar es Salaam tu. It's time tukuze miji mingine...let's make Dodoma our capital city with serious political will. Hata marekani kuna New York lakini serikali imetulizana Washington DC.
Tena hana hoja kabisa.haya unayataka wewe kwa maslahi yako sisi tunataka maendeleo ambayo mama anayafanya huna hoja ya msing hapa
Sabaya jeTuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.
Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni
Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.
Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.
Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.
Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.
Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.
Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?
Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.
Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Na mbaya zaidi ule uwanja wa Dodoma ulipanuliwa na gharama ya kutosha imetumika, ikulu imejengwa Sasa sijui kinacho mfanya Rais daily pokea wageni dar ni nini?Tulisema huyu mpwani lao moja kurudisha mji mkuu dar.
La kushangaza dodoma ndege kubwa zinatua ila ziara ya rais wa botswana tunaona kupokelewa dar na tafrija zote dar. Samia ajue kwamba magufulist tunamuangalia tukijua kura za magufuli ndio zimempa urais. Tungependa kuona dodoma inapewa haki yake ya mji mkuu. Magufuli hakukosa sehemu dodoma kufanya shughuli yoyote ila mtu mpenda fahari na kujikweza ataona kuna vitu dodoma bado haikidhi.
Yetu macho.. hatutaki maonesho tunataka utendaji wa kimagufuli. Tulimpigia yeye kura samia usituzingue.
Mataqo yako, subiri dikteta atafufuka aje amalizie ingwe yakeAna laana za kaka yake Magufuli kwa hiyo hawezi kufanikiwa katika lolote lile.Imagine yupo busy kuongea na wanawake,kuongea na wazee na teuzi!She is hopeless president.
... watetezi watakwambia lilikuwa wazo la tangu Nyerere! Subiri matusi Mkuu.Kwa akili ya kawaida utajengaje ikulu Dodoma Kama siyo ukichaa,au alikuwa anamjengea Ndugai .Wizara zipo Dar ,balozi zote zipo Dar ,uwanja wa ndege kimataifa upo Dar ,Bandari ipo Dar halafu unahamisha Ikulu .Jamaa alikuwa na akili za ajabu
Kumbe we Ni mtu wa kukosoa tu, nilikuwa nakuonaga Ni great thinker, kumbe ni kiaziTuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.
Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni
Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.
Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.
Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.
Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.
Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.
Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?
Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.
Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Ni bure kabisaNa hana uwezo wa kutuongoza kabisa yani.
Hawezi kufanya kitu bila kuwa na safu nzuri ya viongozi. Si unajua chama hakina watu wazuri kiweledi ndiyo maana anapangua pangua. Akipata viongozi wenye weledi atafanya makubwa. Raisi peke yake hawezi kufanya kitu, lazima awe na majemedari imara. ukifanya kila kitu mwenyewe ni tidious na huwezi kufanikiwa. Ukifanya hivyo tegemea kupata stress, pressure, heart attack na early death!!!! Lazima awe na watu mahiri wa kubeba kile anachoamini.Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.
Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni
Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.
Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.
Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.
Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.
Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.
Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?
Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.
Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Axha kupiga watu kamba mzee, wizara zote makao makuu ni Dom zilishahamishwa kitambo.Kwa akili ya kawaida utajengaje ikulu Dodoma Kama siyo ukichaa,au alikuwa anamjengea Ndugai .Wizara zipo Dar ,balozi zote zipo Dar ,uwanja wa ndege kimataifa upo Dar ,Bandari ipo Dar halafu unahamisha Ikulu .Jamaa alikuwa na akili za ajabu
we kichaa akuongoze nani!!Na hana uwezo wa kutuongoza kabisa yani.
So what kupanga ni kuchagua ,tulisema tunaamia Dodoma hatuwezi ludi nyuma ,maana huu ni mpango wa miaka kibao na sio waliouleta mpango hawakujua Kama balozi nyingi zipo dar na sio kwamba walikua wajingaKwa akili ya kawaida utajengaje ikulu Dodoma Kama siyo ukichaa,au alikuwa anamjengea Ndugai .Wizara zipo Dar ,balozi zote zipo Dar ,uwanja wa ndege kimataifa upo Dar ,Bandari ipo Dar halafu unahamisha Ikulu .Jamaa alikuwa na akili za ajabu
... sera ya majimbo ingesaidia sana kwenye hili. Badala ya kusubiri maamuzi ya mtu mmoja (Rais) aamue; decentralization ingeongeza ushindani huku Central Government ikiwa mtunga sera za kitaifa na ulinzi wa nchi.Modern economies zinajengwa kwa free market.
Nchi inapanuka, miji inastawi kwa biashara huria.
Siyo kwa central planning ya serikali kusema mji uwe hapa kwa lazima.
Fanya kazi,unategemea Rais akuletee mkate, hama hapo kwa shemejiBado anademuka usitegemee jipya kutoka kwake.
... nitajie hoteli yoyote Dodoma yenye hadhi ya kufikia mkuu wa nchi ya kigeni na msafara wake! Hebu ongeeni kwa facts badala ya kuwaza kwa akili za marehemu!Na mbaya zaidi ule uwanja wa Dodoma ulipanuliwa na gharama ya kutosha imetumika, ikulu imejengwa Sasa sijui kinacho mfanya Rais daily pokea wageni dar ni nini?
...
Watanzania wengi bado hawajawa na akili za kutumia sera hizi.... sera ya majimbo ingesaidia sana kwenye hili. Badala ya kusubiri maamuzi ya mtu mmoja (Rais) aamue; decentralization ingeongeza ushindani huku Central Government ikiwa mtunga sera za kitaifa na ulinzi wa nchi.
... hizo ni propaganda za watawala kuwatisha wananchi wasio na uelewa mpana ili wavune kura. Kazi ya Central Government ni ku-oversee na kuhakikisha hilo halitokei; "eyes on, hands off".Watanzania wengi bado hawajawa na akili za kutumia sera hizi.
Wangeweza kuzitumia kugawa nchi kikabila.
πππMataqo yako, subiri dikteta atafufuka aje amalizie ingwe yake
Mbona dikteta alikuwa anapokea wageni kwao chattle??? Na hamkusema kitu nyie wasukuma?Tulisema huyu mpwani lao moja kurudisha mji mkuu dar.