8. Anajenga reli SGR kipande Cha Isaka - Mwanza (keshatoa zaidi yaBill. 350)Acha majungu fake.Mama kwa muda mfupi ameleta:
1.kuunganishiwa umeme 27,000.
2.Sasa wananchi tuko huru na tunapumua.
3.Bia bei atashuka
4.Boda faini 10,000
5.Amewaondoa viongozi wahahalifu akgna Sabaya,Chalamila.
6.Ameshusha PAYE
7.AMEWARUHUSU WATUMISHIKWENDA NJE YA NCHI.
Hongera sana mama yetu
Hilarious 😂!Tulisema huyu mpwani lao moja kurudisha mji mkuu dar.
La kushangaza dodoma ndege kubwa zinatua ila ziara ya rais wa botswana tunaona kupokelewa dar na tafrija zote dar. Samia ajue kwamba magufulist tunamuangalia tukijua kura za magufuli ndio zimempa urais. Tungependa kuona dodoma inapewa haki yake ya mji mkuu. Magufuli hakukosa sehemu dodoma kufanya shughuli yoyote ila mtu mpenda fahari na kujikweza ataona kuna vitu dodoma bado haikidhi.
Yetu macho.. hatutaki maonesho tunataka utendaji wa kimagufuli. Tulimpigia yeye kura samia usituzingue.
ataenda kuzifanyia chato basi, ili amuenzi mungu wenuNa mbaya zaidi ule uwanja wa Dodoma ulipanuliwa na gharama ya kutosha imetumika, ikulu imejengwa Sasa sijui kinacho mfanya Rais daily pokea wageni dar ni nini?
Hili kwa kweli naungana na wewe mkuu ,Hili halikubaliki, Kama vipi Rais aludishe serikali Dar tujue moja, mamlaka anayo ,but hatutaweza kuukamilisha mji mkuu wa Dodoma Kama mkuu wa Nchi hatakua na commitment, maana KWA Sasa naona Kama viongonzi hawataki kukubali kwamba makao makuu ni Dodoma but daily shughuli nyingi zinafanyika dar ,
Nilitegemea MPAKA mda huu shughuli za kiserikali kufanyika Dodoma, wageni wafikie Dodoma ili kuendelea kuutangaza mji
Andikaga vizuri basi!!Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.
Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni
Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.
Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.
Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.
Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.
Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.
Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?
Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.
Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Dar es salaam ni kama mwanamke mzuri unayetaka kumuacha.Na mbaya zaidi ule uwanja wa Dodoma ulipanuliwa na gharama ya kutosha imetumika, ikulu imejengwa Sasa sijui kinacho mfanya Rais daily pokea wageni dar ni nini?
Hili kwa kweli naungana na wewe mkuu ,Hili halikubaliki, Kama vipi Rais aludishe serikali Dar tujue moja, mamlaka anayo ,but hatutaweza kuukamilisha mji mkuu wa Dodoma Kama mkuu wa Nchi hatakua na commitment, maana KWA Sasa naona Kama viongonzi hawataki kukubali kwamba makao makuu ni Dodoma but daily shughuli nyingi zinafanyika dar ,
Nilitegemea MPAKA mda huu shughuli za kiserikali kufanyika Dodoma, wageni wafikie Dodoma ili kuendelea kuutangaza mji
Mama ameonyesha uwezo na ukakamavu, hakuna kitu kilichoyumba. Amepitiliza matarajio8. Anajenga reli SGR kipande Cha Isaka - Mwanza (keshatoa zaidi yaBill. 350)
9. Anapandisha madaraja watumishi 92,000 mchakato unaendelea.
10.Ameshatoa fedha kujenga barabara za kimkakati zinazounganisha mikoa zaidi ya kilometer 1,500 (hizi zilikwama)
11.Ameshatangaza ajira mpya zaidi ya 42,000. Elfu kumi tayari vibali vimeshatolewa
12.Ameondoa faida Kandamizi ya Bodi ya mikopo (Retention fee) ya asilimia sita kila Mwaka katika Deni la la mkopo wa kusoma chuo.
13.Ameondoa faini ya Bodi ya mikopo ya 10% ukichelewa kurejesha.
14. Anamalizia SGR kipande Cha Dar- Moro. Ujenzi unaendelea.
15. Anajenga SGR kipande Cha Dodoma Makutopola Ujenzi unaendelea.
16. Ameanzisha mradi wa kufua umeme mto Malagalasi tayarizaidi ya bill.100 zimeshatolewa.
17. Anaendeleza Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa JK Nyerere Rufiji.
18. Anarudisha nidhamu ya utendaji unaozingatia sheria kwa viongozi wa umma (Wapuuzi,waigizaji,commedian na chawa wawili wameshaondolewa na mmojawao yupo mahakamani)
19. Anarejesha mahusiano ya kidiplomasia,kiuchumi na mataifa ya nje. Tayari mahindi,maharage,pamba nk yameanza kupanda bei.
Asilaumiwe mama SSH hatukumchagua yeye, na yeye ataendelea kuwa makamu wa rais akisubiri maelekezo kutoka kwa rais...kwa bahati mbaya hayupo sasa na hivyo akina JK wanapata mwanya wa kumpa maelekezo 'makamu wa rais' maana ndivyo wanavyomuona! Huu ni ukweli mchungu sana, na unaweza kuligharimu sana taifa😭! Mungu atusaidie watanzania 🙏!Na hana uwezo wa kutuongoza kabisa yani.
Ila yeye labda ameamua kutii chama chake badala ya hayo uliyosema.Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.
Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni
Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.
Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.
Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.
Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.
Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.
Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?
Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.
Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Wanadhani kuendesha nchi ni kuchoea moto wa kuivisha maharage ama kuchemsha maji ya chaihaya unayataka wewe kwa maslahi yako sisi tunataka maendeleo ambayo mama anayafanya huna hoja ya msing hapa
Mlamba kende wewe, njoo nikupe ajira uache kupoteza muda humu JFFanya kazi,unategemea Rais akuletee mkate, hama hapo kwa shemeji
Labda Morena... nitajie hoteli yoyote Dodoma yenye hadhi ya kufikia mkuu wa nchi ya kigeni na msafara wake! Hebu ongeeni kwa facts badala ya kuwaza kwa akili za marehemu!
... nitajie hoteli yoyote Dodoma yenye hadhi ya kufikia mkuu wa nchi ya kigeni na msafara wake! Hebu ongeeni kwa facts badala ya kuwaza kwa akili za marehemu!
Labda unipe ajira yakukuchimba gesi iyo ya msimbati unayotembeanayoMlamba kende wewe, njoo nikupe ajira uache kupoteza muda humu JF
Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.
Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni
Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.
Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.
Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.
Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.
Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.
Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?
Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.
Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Ushambalism huoWatu wengi Mikoani ndoto zao ni kuishi Dar
Mkuu unakua ni udhaifu Sasa, kwamba ambacho MWANZO uliona kumuacha , kimeisha mpaka ulejeshe majeshi ,!!Dar es salaam ni kama mwanamke mzuri unayetaka kumuacha.
Lakini kila ukitaka kumuaacha, unajikuta mwenyewe umemrudia.
Hela ya kumalizia bwawa la umeme unaona sio jambo la msingi maana ametoa zaidi ya bilioni 580, hela ya Daraja la busisi, hela ya kujenga phase 3 ya reli ya SGR? Hela alizopeleka Halmashauri? Hela alizoidhinisha za kununua madawa? Tuwe makini basi.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani..
Inawezekana udhaifu.Mkuu unakua ni udhaifu Sasa, kwamba ambacho MWANZO uliona kumuacha , kimeisha mpaka ulejeshe majeshi ,!!