Mkuu, hizo habari za kutatua matatizo inatakiwa kila wilaya na kata kuwe na vituo vya kutatua matatizo, na kila jimbo liwe na ofisi ya mbunge ambayo ina access kila kitu mtandaoni.Ukiachana na usalama Dodoma kuwa makao makuu ya nchi Ina manufaa makubwa ikiwa pamoja na sehemu nyingi ufikiwa kwa urahisi hasa swala la kutatua matatizo
Cold War era/ liberation era politics za kusema Dar haikuwa secure na iko prone to attacks. This is moot.
Habari za Dodoma kuwa kati ya nchi na kuwareachable kirahisi kutoka sehemu zote za nchi nazo ni moot, more than 10% ya watu wapo Dar, na wanaofanya mingle za kiserikali ni disproportinately hao.Zaidi, e-government ilitakiwa kurahisisha huduma, si kuhamisha mji.
Ukweli ni kwamba Nyerere alikuwa haipendi Dar tu, alikuwa anaiita Rumourville, akataka mji mkuu uende sehemu ya kimya, in keeping with his stoic nature. Lakini, hilo haliendani na matakwa ya kiuchumi na kijamii ya nchi.
Ameeingiza nchi gharama kubwa ya kuhamisha mji mkuu na mpaka leo watu wanazunguka Dar to Dodoma and back kwa gharama kubwa sana bila kuongeza tija yoyote.
Mji mkuu ulikuwepo Dar tayari, hakukuwa na haja ya kwenda Dodoma.
Mkuu sasa unafananisha Marekani nchi iliyofaidika na slave trade, na Nigeria nchi iliyofaidika na oil money, na Tanzania nchi hohehahe?Hoja ya kitu kuwa moot achana nayo. Kila kitu ni moot at some point. Appropriateness ya decision yoyote inapimwa kwa kuangalia facts na circumstances za wakati ule decision ilipokuwa inafanywa. Ukipata muda, angalia, kwa mfano, jinsi ambavyo sababu za Marekani kuhamisha mji mkuu wake kutoka Philadelphia kwenda Washington, DC zinavyoweza kuonekana za ajabu kwa mazingira ya sasa, lakini wakati ule zilionekana za msingi sana.
Tanzania sio nchi ya kwanza (na pengine haitakuwa nchi ya mwisho) kuhamisha mji mkuu. Mifano mingine ya haraka haraka ni Marekani na Nigeria!
Mkuu sasa unafananisha Marekani nchi iliyofaidika na slave trade, na Nigeria nchi iliyofaidika na oil money, na Tanzania nchi hohehahe?
Wenzetu hawa waliweza ku afford hii luxury.
Nilikuwa naongea na Mzee mmoja alikuwa Mkurugenzi wa CDA. Aliniambia Wa Nigeria walivyokuwa wanaanza kuhamisha mji mkuu kutoka Lagos kwenda Abuja walikuja Tanzania kugezea makabrasha, kuona mipango inafanywaje.
Tanzania tukawapa material yote.
Wakaenda wao wakahamisha mji, wakamaliza kikwelikweli.
Sisi mpaka leo tunachechemea, na ndio tuliowafundisha.
Sasa unataka kufananisha Tanzania na US na Nigeria?
Huwezi kuhamisha mji mkuu kwa political will tu.Nchi zilizofanya hivyo ziko nyingi (zikiwemo masikini na tajiri); Marekani na Nigeria ni fraction ndogo ya hizo nchi. As a matter of fact, nchi zingine zimefanya hivyo zaidi ya mara moja.
Vitu vingine vinakwenda kwa political will zaidi kuliko kitu kingine. Hilo halikuweza kufanyika kwa tawala nne za Tanzania, kwa sababu hakukuwa na political will ya kutosha. Akatokea mtawala aliyekuwa na political will ya kutosha kufanya hivyo, akalifanya ndani ya nusu muhula!
Hivi uliona Ile clip anayosema kwamba watu wa mwanza wasimchukie mama sababu yeye hajamuua Magu ni maneno tu ya watu????Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
MATAGA akili zenu mnazijua nyinyi wenyewe. Unauliza Rais wetu mpendwa, Mama Samia Hassan anatupeleka wapi? Kwani dikteta Meko ametupeleka wapi hapa tulipo sasa? Au wewe labda husihi hapa nchini?Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Huwezi kuhamisha mji mkuu kwa political will tu.
Panatakiwa pawepo na economic means.
Political will haijengi majengo.
Na tunapenda kujidanganya sana.
Ndiyo maana mpaka leo mji mkuu Dodoma, lakini rais wa Botswana anapokelewa Dar.
Nakwambia hivi, kuhamishia mji mkuu Dodoma hakukuwa na utility.Na mpaka leo hakuna tija.Economic means bila political will ni bure pia!
Economic means za capital development ambayo imefanyika kwa muda mfupi zilitoka wapi kama wakati wa tawala zingine hazikuwepo?
Kazi kubwa imeshafanyika. Kilichobaki ni vitu ambavyo haviwezi kuzuia Serikali kufanya shughuli zake wakati ikiendelea kuvikamilisha.
Nakwambia hivi, kuhamishia mji mkuu Dodoma hakukuwa na utility.Na mpaka leo hakuna tija.
It was a white elephant political project.
Ndiyo maana mpaka leo watu wanaenda Dodoma, wanarudi Dar.
Wewe mganda acha kabisa kuingilia mambo ya Tanzania jua kuwa Mama anatupeleka mahali safi na salama na watanzania wote tuna imani kubwa tuu na matumaini lukuki toka kwake! Tafakari na waulize waganda wenzio Mu7 anawapeleka wapi!Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Hapana,Nakuelewa, lakini shida ni kwamba you’re evaluating an old decision kwa kutumia facts na circumstances za leo badala ya zile za wakati ule ilipofanyika!
Hata uamuzi wa kufanya slave trade, ukiupima kwa kutumia facts na circumstances za leo, haukuwa na tija!
Nchi zilizofanya hivyo ziko nyingi (zikiwemo masikini na tajiri); Marekani na Nigeria ni fraction ndogo ya hizo nchi. As a matter of fact, nchi zingine zimefanya hivyo zaidi ya mara moja.
Vitu vingine vinakwenda kwa political will zaidi kuliko kitu kingine. Hilo halikuweza kufanyika kwa tawala nne za Tanzania, kwa sababu hakukuwa na political will ya kutosha. Akatokea mtawala aliyekuwa na political will ya kutosha kufanya hivyo, akalifanya ndani ya nusu muhula!
Kivipi fafanua?Sasa naona tanzania inafunguka kiuchumi.
Mama anafanya kazi kubwa sana tena sana.
Mama sasa anatupeleka kwenye uchumi wa kati kwa kila mtanzania kuishi maisha ya kiwango cha kati kwa uhalisia sio nadharia