Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Wewe jamaa mpuuzi kweli kweliMakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi.
Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA , ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa misaada mbalimbali. Mpaka sasa hakuna hata kitu kimoja kilichotabiriwa na Lisu kilichotimia maaana yake aliwadanaganya watanzania, yani licha ya kusoma kwa kodi za watanzania yeye anakuja kufanya kazi ya kuwadanganya watanzania!!!
Kinyume na utabiri wa Lisu ,Tanzania ya sasa imeingia uchumi wa kati, hatujashitakiwa MIGA na viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza. Mapato ya madini yamepanda kutoka billioni 100 hadi billion 500, ndege hazikamatwi na watanzania ni wamoja zaidi kinyume na utabiri wake.
Baada ya kuona aibu Tundu Lisu na Lema badala ya kuwaomba msamaha watanzania wao wamekimbilia Ulaya kwenda kulishwa bure na wazungu!!
Lema na Lisu rudini nyumbani muwaombe msamaha watanzania muanze kuishi kwa jasho lenu kwa kufanya kazi na siyo kulelewa.
Pisi nini umesema? Turudii kwenye madaa!
Hahahahahah mbn kama picha yako vile? Kwani haya maviatu ni vya pisi kali? Au ametokea mbagala kwa watu wa usafiri mgumu! Ndo kaona High heels hazifai! 😂😂
Maendeleo ni kuteka watu na kuwaletea wasoijulikana.Mzee ww tafsiri ya maendeleo ni nini? tuanzie hapo kwanza
Unawajua madokta waliokuwa wanamtibu siku za mwisho ,mbona atujulishwi wala kuwaona wakitueleza kitu chochote maana raisi JPM kafia madarakani unajua kwanini wamefichwa?We Msukuma,muogope mungu wako,
Kifo siyo kitu Cha bahat mbaya,Magufuli kafa natural death and gone,makamu mama samia kikatiba akachukua madaraka,don't
Ovyo kabisaaa wwTeuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali
Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.
Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.
Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo
Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!
Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
Unadinywa wewe. Unakumbuka baraza la mawaziri mwisho la Magufuli kabla hajafa? Alichagua watu wengi wa dini moja halafu dini nyingine haikuzidi hata asilimia tatu!Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali
Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.
Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.
Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo
Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!
Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
Hili jibu atalikataa mleta mada?Hao wote ni walemavu