Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,184
- 1,914
Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.Hii mada yako inenikumbusha JPM pale alipotoa siri kwamba yeye alimtaka Dr awe makamu wake.
Mara paap, akashauriwa huyu anafaa zaidi atakusaidia.
Na baada ya hapo huyuhuyu akawa VP.
Kwa mtazamo wa jicho la tatu tuloelewa tuling'amua JPM alikuwa akitoa ujumbe upi na kwa nani.
Ila hakuwa na jinsi.
Baadae tukasikia kuna watu wanasusa, na hata kutishia kuondoka, lakini mzee wa pwani akawa anaingilia kati anaamua na yanaisha, ila wawili hawa hawakuwa sawa na kila mmoja alikuwa ana yake kichwani.
Sasa ikawa jioni ikawa usiku kulipokuchwa yeye huyu ni mkuu kabisa, na yule aliefikiriwa kuwa ndie angalau angekuwa mkuu akawahiwa akapewa umakamu.
Yule ndie sera zake zote za uchumi alitunga na zikatufukisha kwenye uchumi wa kati.
Nyerere aliwahi kusema kuwa "The leaders of south tend to keep their people as ignorant in order that you can exploit them better"
Mchezo ukawa umeisha.
Mengine ni kama ulivoelezea tunapigwa kisawasawa, bila kujibu.
Tozo zenyewe zinaenda kuwanufaisha wateule wakeKuna vichaa wanasifia, huko tuendako tutakuwa tunafanya kazi vipato vyote viishie kwenye tozo.
Auto pilot.Hivi nchi ambayo haina Rais kitaalam inaitwaje?[emoji41][emoji41][emoji41]
Fanya kazi acha kulia lia.Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.Ukiona hospital,shule,barabara,madaraja,reli nk,yupo aliyelipa kodi,tozo,wewe sasa unafaidika navyo.Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.
Hajui lolote kuhusu uchumi wala kodi.
Ni vyema akajiondoa apishe wengine.
CCM nambari waniWatanzania tuombe kwa Mungu naona giza mbele
Namnukuu Mshana Jr Alisema hivi,...Hizi kodi alizozitunga samia na watu wake sijui amezitoa wapi?
Ni nchi gani duniani inatoza kodi kwenye miamala ya fedha ama manunuzi ya kielekroniki?
Anayetuma fedha anakatwa, anayepokea anakatwa. Muamala mmoja una VAT, TOZO, service charge, sijui EWERU, REA, kodi ya jengo, uliona wapii?
Nchi hii ina kila rasilimali ambazo zinaweza kutulisha hata miaka mia moja bila kuzalisha chochote!
Mmewafungulia mabeberu wanachota madini kama njugu, wanasomba gases, wanapora wanyama na trophies.... ati ndio mnafungulia uchumi!!
Fedha za bandari zinapigwa, miradi inapigwa, ufisadi wizi kila mahali. Hiyo haitoshi, mama huyu kaamua ageukie kuwanyonya masikini!
Hata ukiweka mia kwenye simu wanaifyeka!!
Kama nchi imekushinda NG'ATUKA, ONDOKAA, ACHAAAAA, TOKAAA, SEPAAAA!!!!
Sio lazima kila mtu awe Rais, wengine mbaki kuwa wasaidizi wa nyumbani tu wa kawaida (ordinary house servants).
Sio lazima ung'ang'anie usichokiweza.... unang'ang'ana tu ng'a ng'a ng'aa.... ACHAA....
Nchi hii ina watanzania zaidi ya milioni hamsini, wasomi, wajuzi, weledi na wenye maarifa. Waachie hao, wewe pumzika.
Kuwa Rais wa nchi kunahitaji mawazo mapana, utulivu wa akili na nafsi. Not everyone can be president!
Tunahitaji Rais anayejitambua na kutambua nini wananchi wanataka na nini nchi inataka!
Lakini kwa mama huyu, HAPANA.
Lakini, hujajiuliza kama bado anafuata dira ya maendeleo ya CCM au imebadilika.Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.
Hajui lolote kuhusu uchumi wala kodi.
Ni vyema akajiondoa apishe wengine.
Mlianza chadema kumwimbia mapambio ya kumaifu, mkambeza JPM Sasa mnaweweseka. Hamjulikani mnataka Nini.Kuna vichaa wanasifia, huko tuendako tutakuwa tunafanya kazi vipato vyote viishie kwenye tozo.
Hakuna asietaka kulipa kodi bali ielimishe jamii, uiambie ukweli mapato na matumizi ya serikali waelewe, onyesha kwa vitendo na vielelezo barabara zilojengwa, miundombinu na huduma zingine za afya.Wengi wanaolalamika kuhusu tozo,kodi,ni wale wavivu,wasiotaka kazi.Fanyakazi ulipe kodi.Ukoona hospital,shule,barabara,daraja,reli nk,ujuwe yupo aliyelipa kodi,ndio wewe ukavitumia hivyo.
Hii mada yako inenikumbusha JPM pale alipotoa siri kwamba yeye alimtaka Dr awe makamu wake.
Mara paap, akashauriwa huyu anafaa zaidi atakusaidia.
Na baada ya hapo huyuhuyu akawa VP.
Kwa mtazamo wa jicho la tatu tuloelewa tuling'amua JPM alikuwa akitoa ujumbe upi na kwa nani.
Ila hakuwa na jinsi.
Baadae tukasikia kuna watu wanasusa, na hata kutishia kuondoka, lakini mzee wa pwani akawa anaingilia kati anaamua na yanaisha, ila wawili hawa hawakuwa sawa na kila mmoja alikuwa ana yake kichwani.
Sasa ikawa jioni ikawa usiku kulipokuchwa yeye huyu ni mkuu kabisa, na yule aliefikiriwa kuwa ndie angalau angekuwa mkuu akawahiwa akapewa umakamu.
Yule ndie sera zake zote za uchumi alitunga na zikatufukisha kwenye uchumi wa kati.
Nyerere aliwahi kusema kuwa "The leaders of south tend to keep their people as ignorant in order that you can exploit them better"
Mchezo ukawa umeisha.
Mengine ni kama ulivoelezea tunapigwa kisawasawa, bila kujibu.
Hatuwezi kuukwepa ubeberu kwa aina ya fikra tulizo nazo ni mpaka tujitambue na tufahamu namna nzuri ya kucheza nao.
Hatuwezi kuushinda ubeberu kwani ubeberu umejengwa kwa mtindo wa kupora kwa hila huku kusini ikiwemo Tanzania.
Hakuna jinsi, tulipe kodi tujenge nchi.
Taarifa imeshatolewa na Waziri Doctor wa uchumi.Hakuna asietaka kulipa kodi bali ielimishe jamii, uiambie ukweli mapato na matumizi ya serikali waelewe, onyesha kwa vitendo na vielelezo barabara zilojengwa, miundombinu na huduma zingine za afya.
Je, hadi sasa serikali imetoa taarifa ya mapato yake ya kila mwezi tokea mara ya mwishio ifanye hivyo?
Je, imetoa taarifa ya mradi wowote ambao umekamilika kwa asilimia 100?
Je, miradi yote iloanzwa imefikia hatua ipi na lini inatarajiwa kukamilika kwa asilima 100?
Je, miradi hiyo imegharimu kiasi gani hadi sasa?
Hizi ni information ambazo "necessary" kwa umma kwani zinachagiza support kwa serikali hiyohiyo.
Wananchi wasipopata hizi taarifa wanageuka kuwa "ignorant" yaaniwanakuwa hawazingatii kinachoendelea na hapo serikali inaamua kuwatumia kwa ujinga huo.
Hakuna asietaka kulipa kodi bali ielimishe jamii, uiambie ukweli mapato na matumizi ya serikali waelewe, onyesha kwa vitendo na vielelezo barabara zilojengwa, miundombinu na huduma zingine za afya.
Je, hadi sasa serikali imetoa taarifa ya mapato yake ya kila mwezi tokea mara ya mwishio ifanye hivyo?
Je, imetoa taarifa ya mradi wowote ambao umekamilika kwa asilimia 100?
Je, miradi yote iloanzwa imefikia hatua ipi na lini inatarajiwa kukamilika kwa asilima 100?
Je, miradi hiyo imegharimu kiasi gani hadi sasa?
Hizi ni information ambazo "necessary" kwa umma kwani zinachagiza support kwa serikali hiyohiyo.
Wananchi wasipopata hizi taarifa wanageuka kuwa "ignorant" yaani wanakuwa hawazingatii kinachoendelea na hapo serikali yaamua kuwatumia kwa ujinga huo.
Mbona mleta mada amenielewa nimeongea nini?Ukiacha kuwa umeandika kwa kiswahili fasaha na bila kutukana, hata sijui hoja yako ilikuwa nini.
Kodi hizi wizi mtupu!Fanyeni kazi mlipe kodi,acheni kushinda kwenye vijiwe,visivyozalisha.Lipa kodi,kwa maendeleo ya nchi.
Wizi mtupu tozo hizi!Acha kulia lia, hakuna nchi inayoebdesha bila kuchangia maendeleo,kupitia mwananchi.Lipa kodi kwa maendeleo yako.
Acha kushabikia wizi! Kodi hata sisi tunazijua na tunalipa lakini sio tozo hizi! Wizi mtupu!Toza inakwenda tumika kwa ajili yetu sisi,ikiwa tutakuwa na vituo vya afya,mashule,barabara,taa za barabarani nk,tutafaidika sisi.