So akiharibu kiongozi mwanaume ni bahati mbaya lakini akiharibu kiongozi mwanamke ni uharibifu kwa kuwa ni mwanamke hafai kuongoza.
Hebu chunguza huko kijijini kwenu ambako viongozi wote wanaume kuna nini cha ajabu walichofanya.
Acha undezi wa karne zilizopita.
Hivi mabalaa yote ya vita, uonevu na mauwaji yaliyowahi kutokea ulimwenguni viongozi walikuwa wanawake?
Umetaja Zambia raisi Joyce Banda, ambae aliongoza kwa miaka 4, sasa kabla na baada yake wanaume waliongoza Zambia wamefanya nini cha ajabu zaidi ya wizi, rushwa uonevu na mauwaji?
Shame on you, hao mabinti zako hapo nyumbani vipi unawaambia hiyo misimamo yako kuwa haijalishi wana akili kiasi gani hawafai kuwa viongozi kwa kuwa tu wana matiti na kibox manyoya.
Nchi zote zenye matatizo na migogoro afrika na duniani kwa ujumla zinaongozwa na wanawake wa afrika? Au ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo??
Tuheshimu tafadhali
Mama nchi imemshinda acha siasa mkuu!!!!
umeshamalizaMungu alipowaumba uliwapa jukumu la kuwa wasaidizi,sasa Wanadamu kujiona mna akili kumzidi Mungu mnawapa jukumu la kuwaongoza.
Total failure, kama honi basi kaa hivyo hivyo. Kamuulize Jiwe atakwambia maana ndiye Kioo chenuIngekuwa vema kama ungeonyesha wapi aliposhindwa. Si ajabu nguvu hizo za kutoa kashfa dhidi ya wanawake umezipata baada ya kushiba mihogo uliyonunua baada ya kupata mshahara wako wa August. Samia ameshindwa nini na wapi?
Mama kawa Actress wa bongo Movie🤔🤔Nchi inaendeshwa na Mwigulu yeye yupo busy na maigizo
Acha aigize vizuriMama kawa Actress wa bongo Movie🤔🤔
U.S.A,China,Urusi mataifa yao yana miaka hawajawi kuwapa Wanawake Urais kwamba sisi ni bora kuzidi wao-ukweli ni kuwa wanawajua na haitajuja kutokea mataifa hayo kuongozwa na mwanamke.
we ngoja tu maduka ya game yote yanafungwa tutaelewa tu, halafu tozo mara kodi ya nyumba mmmmh🙁Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.