joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenifanya kwenda kufanya verification kwanza maana...! mama ni full of suprises! unaweza shangaaa joto la jiwe deputy minister! Ila nadhani kama akiteuliwa atapewa u-deputy kwanza [emoji1787][emoji1787]
Ila Polepole simkubali kwakweli, sidhani Kama ni kiongozi mzuri.Umenifanya kwenda kufanya verification kwanza maana...! mama ni full of suprises! unaweza shangaaa joto la jiwe deputy minister! Ila nadhani kama akiteuliwa atapewa u-deputy kwanza [emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli tumekiuka.... Mungu atusamehe....Mungu alipowaumba uliwapa jukumu la kuwa wasaidizi,sasa Wanadamu kujiona mna akili kumzidi Mungu mnawapa jukumu la kuwaongoza.
Angalia babu wale jamaa watakuja kukushambulia! si unajua Polepole ni kanda ilee!Ila Polepole simkubali kwakweli, sidhani Kama ni kiongozi mzuri.
Unamaanisha hata Mama Samia ni mbovu???? Maana utumie akili unaposhambulia mizizi bila kujua matawi nayo lazima yatakauka na kuanguka. Propaganda zenu tunazijua kwa sasa. Mnatengeneza sinema ili ikifika 2025 mseme Mama Samia pia hafai kuwa mgombea wetu wa CCM kwa sababu aliteuliwa na Dkt Magufuli. Naamini Mama Samia na wasaidizi wake watawaona watu kama wewe na wengine wawaombe kuacha chokochoko za kumfanya Mama asipite 2025 kama mgombea wa urais 2025 wa CCM.Hapa nazungumzia PM na VP ambaye amekuwa Rais. Kwenye siasa akili ni kuchagua wasaidizi wa karibu ambao ni Loyal(wafuasi wazuri) na si wenye weledi (competent). Lengo ni kupata watu utaoweza kuwaelekeza mambo na wakafuata.
Na mara nyingi watu competent huwa siyo wafuasi wazuri. Watu wanaoweza kufikiri wenyewe huwa siyo wafuasi wazuri. Hivyo basi, viongozi wakubwa, hasa wale wanaoongoza kibabe huwa na na wasaidizi dhaifu ila loyal sana.
Kwa mantiki hii, Rais Magufuli kama Rais katuachia uongozi mbovu. Na hata CCM alikokuwa mwenyekiti, pale juu aliacha uongozi dhaifu automatically.
Duh!Nipo hapa naendelea kuhamisha bidhaa zangu za kimachinga.😝😝😝😝Hahahaha nimechombeza tu ili aropoke zaidi. Si unajua CCM sasa tunajipanga kumpambania Mama. Lazima vibaraka tuwatishe wakome kuleta chokochoko
sasa ana uzuri gani,si ni kama hatuna rais tuUnamaanisha hata Mama Samia ni mbovu????
Yeye ndio alikuwa futuhi mkuu ,kufoka hovyo,kudhalilisha watu na kupenda sifa za kijinga ndicho aliweza sio kuonyesha uongoziHapa nazungumzia PM na VP ambaye amekuwa Rais. Kwenye siasa akili ni kuchagua wasaidizi wa karibu ambao ni Loyal(wafuasi wazuri) na si wenye weledi (competent). Lengo ni kupata watu utaoweza kuwaelekeza mambo na wakafuata.
Na mara nyingi watu competent huwa siyo wafuasi wazuri. Watu wanaoweza kufikiri wenyewe huwa siyo wafuasi wazuri. Hivyo basi, viongozi wakubwa, hasa wale wanaoongoza kibabe huwa na na wasaidizi dhaifu ila loyal sana.
Kwa mantiki hii, Rais Magufuli kama Rais katuachia uongozi mbovu. Na hata CCM alikokuwa mwenyekiti, pale juu aliacha uongozi dhaifu automatically.
fuatilia utajuaAcha uzushi....
Vyovyote alivyokuwa lakini sayansi ya siasa inasema kuwa viongozi, hasa viongozi kama Magu huchagua wasaidizi dhaifu.Yeye ndio alikuwa futuhi mkuu ,kufoka hovyo,kudhalilisha watu na kupenda sifa za kijinga ndicho aliweza sio kuonyesha uongozi
Huchaguliwa na nani kama ana akili kwa nini achague dhaifu? Yeye ndio dhaifu.Vyovyote alivyokuwa lakini sayansi ya siasa inasema kuwa viongozi, hasa viongozi kama Magu huchagua wasaidizi dhaifu.
Wewe utakuwa na matatizo. Mama Samia kama aliaminiwa na Dkt Magufuli basi ujue ni mzuri si kwa urembo wake wa sura nzuri kabisa bali hekima na busara za kuongoza nchi. Mama ni Mzalendo kweli kweli. Tumuunge mkono OKW BOBAN SUNZU. Achana na propaganda za akina Makamba za kusema wateule wa Dkt Magufuli hawafai.sasa ana uzuri gani,si ni kama hatuna rais tu
Anachagua/anateua wadhaifu ili wasimsumbue. Ili wawe loyal.Huchaguliwa na nani kama ana akili kwa nini achague dhaifu? Yeye ndio dhaifu.