Hahaaha mtamwita kila majina lakini mukitaka musitake raisi huyu sio roho mbayaBi Mikopo hata hajui maadui zake ni akina nani hasa! She is about to be fully & permanently surprised and flabbergasted!
Wewe endelea tu kupima kina cha maji ya mto kwa miguu yote ya kushoto, utapata majibu kwa wakati mwafaka!Hahaaha mtamwita kila majina lakini mukitaka musitake raisi huyu sio roho mbaya
akina nani haoNyie wenye imani na CCM ni laana kwa nchi yetu na mnatuponza kwa mengi.
Wamefanya maovu na madudu mengi ila bado tu mnawang'ang'ania.
Mnakera sana watanzania wa aina hii.
Ni kauli ya ajabu sana,kutolea na kiongozi wa nchi,laiti ingekuwa nchi za Watu wanao tafakari vizuri,Leo tulipaswa kuwa barabarani,tulipa Kodi na matozo makubwa,alafu watu wanaambia waibe taratibu?Kitendo cha jana kutamka wazi wazi kuwa mawaziri wajipimie wasizidishe sana, kimenikatisha tamaa kabisa hii ni dharau kubwa kwa watanzania tumedharauliwa sana hadharani,
na hii ni kuonekana kwamba sisi sio lolote wala chochote kwake
siwezi kuwa mfuasi wa siasa za namna hii za maji taka, nilimtetea sana lakini kwa sasa hapana aisee
siwezi
View attachment 2080308
Nawaona vijakazi wa jiwe mkimwaga sumuWacha wale tu Sasa,ipo siku zitawatokea popote penye uwazi.
RIP Jiwe.
Ccm ni adui nambari moja wa watanzaniana bado hapo tunaambiwa picha halijaanza....sasa likianza sijui itakuwaje" mama ame fail mapema sana
Hapa mama kateleza ila bado hao hao mawaziri wanazidi kumpigia makofi.Ni kauli ya ajabu sana,kutolea na kiongozi wa nchi,laiti ingekuwa nchi za Watu wanao tafakari vizuri,Leo tulipaswa kuwa barabarani,tulipa Kodi na matozo makubwa,alafu watu wanaambia waibe taratibu?
Msemaji wa familia ya Hangaya,mzima kiongozi!.Nawaona vijakazi wa jiwe mkimwaga sumu
Sijawahi kuwa familia ya ccmMsemaji wa familia ya Hangaya,mzima kiongozi!.
sasa kama rais hajatoka upinza na ccm ni ile ile kuna sababu gani ya kutofuata ilan ya chama? miradi iliyoanzishwa inatakiwa ifanyiwe utekelezaji sasa iweje yeye achane na hii miradi aibue miradi yake mingine? shame on her!Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
CCM ni janga la Taifa, na hatutapata maendeleo ya kweli kamwe chini ya CCM, wamejipambanua kwamba wao ni wezi, sasa wanashauriana kuiba kidogokidogo, TwafaaaHapa mama kateleza ila bado hao hao mawaziri wanazidi kumpigia makofi.
Kwa hili naamini hawa viongozi wanapigania kuingia madarakani kwa ajili ya manufaa yao