The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Rubbish1. Nitashirikiana na Mafisadi aliowachukia
2. Nitashirikiana na Mtu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi na Kimaadili miaka yake Kumi
3. Nitawateua tena wale Wote aliowatumbua kwa Kuiharibu Tanzania na Taasisi zao
4. Nitaanza Kuzurula nje ya Tanzania wakati Yeye alikuwa anakaa Tanzania na nchi inaenda
5. Nitapendelea zaidi kukaa Magogoni na Kisiwani ( Baharini ) lakini kamwe siyo Dodoma
6. Nitapenda Kutukuzwa, Kuimbwa na siyo Kuheshimika na Kushirikiana kwa pamoja
7. Kipaumbele changu Kikuu katika Uteuzi ni wa Dini yangu Kwanza na wa Dini zao baadae
Tafadhali naomba kukianzishwa Chuo Kikuu cha Unafiki Duniani Makao Makuu yake yawe Tanzania kwani Wanasiasa wa Tanzania wana 'PhD's' zilizotukuka za Unafiki.
Unfortunately huna hata sehemu moja ya kuonyesha huo uharibifu π¬π¬Kichwa Kichafu kazi iendelee ile ya miaka 10 ya uharibifu. Kuna fununu zilisikika, nilikataa kabisa nikasema Mama hawezi, nikaambiwa kakojoe ulale usubiri muda, hatimaye. Ila sijui hapo alipo Mama. Ila inawezekana pia anapitia kipindi kigumu sana hasa kubalance kati ya waliotekeleza ui Israel ili yeye awepo hapo na misingi ya anachokiamini ktk nafasi yake, Tumuombee.
Na wewe tawala udini wako kichwani kwani umekatazwaUdini umetawala kichwani
Hamia Nchi yoyote ambayo hakuna mfumuko wa beiHujagusa mfumuko wa bei ambapo ndiyo balaa zaidi
Bashite unajua nini?Hamia Nchi yoyote ambayo hakuna mfumuko wa bei
Najua kitobo chakoBashite unajua nini?
Acha matusi dogoNajua kitobo chako
Petrol mpk October itakuwa 4000Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
Samia ndio kaanzisha vita na kuweka vikwazo?Kwani chakula no chapati tuu? Kula mihogo.Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
Hata ikivuka hapo sawa tuu kwani Samia ndio alianzisha vita? Endeleeni kushabikia RussiaPetrol mpk October itakuwa 4000
Kwani yeye ana shamba la ngano?.Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
UVCCM posho imetoka?Hata ikivuka hapo sawa tuu kwani Samia ndio alianzisha vita? Endeleeni kushabikia Russia
Toka ijumaa tumelipwaUVCCM posho imetoka?
Samia ndio kaanzisha vita na kuweka vikwazo?Kwani chakula no chapati tuu? Kula mihogo.
Mnaacha kulima ngano mnasubiria kuambiwa na Samia [emoji16][emoji16]
Hata hivyo sijui huwa mnapotosha kumdanganya nani,mbona bei ya chapati ni ile ile ya 250-500?
Chapati ya Serena hotel ulikltaka iwe ya sh.ngapi?
Kwani yeye ana shamba la ngano?.
Kitaa cha wapi unakoishi peke yako? ππππchapati ilikuwa 250.
Leo chapati 1,000?
mkisifu mkumbuke na madhaifu kitaa hali mbaya
Ndiyo maanaToka ijumaa tumelipwa
Za kwakoMnavyosifu anafanya maendeleo HELA ZA KWAKE?