fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Usikilize vizuri aliswna niniMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Maslahi yake anajaribu kuyachungulia hata kwa tochi anashindwa kuyaona.Pamoja na maelezo yaliyomo ndani kuwa angalau na mashiko, ila heading yako imejaa lawama. Ni lugha ya kukata tamaa!
Ila kiki zake huyu zimejaa upendo, na matumaini, tofauti na yule, ambaye kiki zake zilikuwa zimejaa chuki na ubabe!!na za kukatisha tamaaa!!!Mama shikilia hapo hapo, praise time, wana hali ngumu sana!!hawakutegemea kuliona hili, kwani walijiona ndio wenye haki na nchi hii!!!Na mm nimemuona anapenda sifa aka kiki kama hayati
Hao ni wahuni wachache waliokuwa wanafaidika na nchi kwa kujifanya wazalendo kwa kumsia meko, na waliamini wataendekea kukamuua hivyo hivyo na jamaa kutoka ilikuwa asitoke hata muda wake ungefika, ndio hao ulikuwa ukiwasikia ATAKE ASITAKE"TUTAMUONGEZEA, sasa ghafla bini vuu kumbe Mungu naye ana lake, lazima wapagawe!!;hata siku hizi kwenye shughuri za kiserikali ukimtazama tu mzee wa safura(mwenzake na radio)hana raha kabisa , muda mwingi kama ana usingizi vile!!ila walio wengi tunaona mwanga mpya.Maslahi yake anajaribu kuyachungulia hata kwa tochi anashindwa kuyaona.
We hata akili ya kuendea maliwato huna!Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ndio, maendeleo hayana vyama aisee!Upinzani wa kupinga kila kitu hatuutaki, tunataka maslahi ya umma kwanza...
Umeongea kwa hisia ukaacha kwenda kwenye uhalisia.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Mmeisha anza fitna zenu .Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ikibidi tule hata majani miradi kama stigle,na Sgr lazima vikamilike maana ndio moyo wa maendeleo.Mbona umeme wa gas na bandari ya Bagamoyo iliachwa, nini Stiegliers bhana, wewe pambana na hali yako tu.
Rushwa imeibuka kipindi hiki tu au? mbona nyakati za JPM ilikuwepo ya kutosha tu? licha ya rais kukukemea laki bado walikuwa wanachukua rushwa tena kubwa kubwa.Ukitaka kujua hamna kitu hapo umemsikia hata kidogo akizungumzia rushwa?huyo mama baadae hata nyinyi mtamgeuka sababu kubwa upeo wake ni mdogo sana kwenye maamuzi pili ni mtu wa kutaka kumfurahisha kila mtu Yani mama huruma tatu nchi hii inamadudu mengi hatuwez kufika kwa kuchekeana na kubembelezana hatuitaji maneno mengi tunahitaj kazi na manedeleo
Hakuna mtanzania aliyeinuliwa na huyo magufuli. Kwa taarifa yako tu ni kwamba aliwapachika Jina la wanyonge ili mushindwe kuhoji! Hao wanyonge aliowatetea ni kunanani? Kawakuta kipato Chao kipoje? Kawaacha kikiwaje?dr.magufuli aliwekeza kwa watanzania wanaonyonywa na mabeberu na mawakala wao kwa miaka mingi. mama naona anaanza kuwekeza kwa wanyonyaji na mawakala wao. hafai.
Did u mean kikoba?Hotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos