The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Kwa hiyo hii ni mikopo sio? 👇Tangu ameingia madarakani nimeona ziara nyingi anazifanyia nje ya nchi na katika ziara hizo tulichokipata ni mikopo mbalimbali kwa ajiri ya miradi mbalimbali ! Kuhusu kukaa nchini na kufanya ziara katika mikoa mbalimbali kujuwa kero za wananchi hili naona hili halifanyi kabisa kwa asilimia kubwa, hata akikaa nchini mara nyingi ana kaa ikulu na kusubilia taarifa za viongizi wake wa chini na akikaa zaidi ya miezi miwili basi ujue kuna mtu atapata teuzi hayo ndiyo nayoyaona anayoyafanya.
ziara kubwa nchini ya kwanza kumbukumbu ya mwalimu nyerere iliyofanyika mkoa wa mara na akaambiwa kero za mkoa huo
Ziara ya pili mkoa wa mwanza sikukuu ya wafanyakazi
Ziara ya tatu mkoani pwani
Ziara ya nne daresalaam kukagua soko la kariakoo
Ziara ya tano mkoa wa tabora kuzindua barabara.
Ziara ya sita mkoa wa kagera wilaya ya chato kuzindua shule mgeni alikuwa MSEVENI.
Katiba mpya ni muhimu kuliko. Haiwezekani kabisa rais mzanzibar kule Zanzibar na wakati huo huo bara ni mzanzibari tena.Zanzibar wana Rais
Mkuu nani kaipiga ? What if mafuta ilibidi yapande zaidi ya Hapo ?Umetoa fedha kuruzuku mafuta lakini watu wameipiga yote. Ona bei ya mafuta imepaa
Acha kumlaumu walaumu JK, Rostam na Kinana yeye ni spika tuUmetoa fedha kuruzuku mafuta lakini watu wameipiga yote. Ona bei ya mafuta imepaa
Mawaziri wawili vijana wa nishati na fedha wanaichafua taswira ya taasisi ya urais makusudi.Mama kunahaja ya yeye kuangalia washauri wake ni kama haoni mambo yanavyoenda malalamiko ya wananchi ni makubwa yeye ameziba masikio kule Bima huku mfumuko wa bei kila kitu kipo hoi watendaji wake wanakula kuku kwa mlija huku wananchi wakisoma namba kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii kwa kweli nchi yetu kuongoza ni rahisi sana. hii awamu ni ngumu na hatari kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Mama hali ni ngumu mno tena ni ngumu mno hao vijana wako ni matapeli wanakupotosha huku mtaani mambo ni magumu mno watu wamechoka chakali! wanakuita majinamengimengi mwisho wa siku watatoka hapo yatakuwa kama ya srilanka.
Una ushahidi?Mama kunahaja ya yeye kuangalia washauri wake ni kama haoni mambo yanavyoenda malalamiko ya wananchi ni makubwa yeye ameziba masikio kule Bima huku mfumuko wa bei kila kitu kipo hoi watendaji wake wanakula kuku kwa mlija huku wananchi wakisoma namba kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii kwa kweli nchi yetu kuongoza ni rahisi sana. hii awamu ni ngumu na hatari kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Mama hali ni ngumu mno tena ni ngumu mno hao vijana wako ni matapeli wanakupotosha huku mtaani mambo ni magumu mno watu wamechoka chakali! wanakuita majinamengimengi mwisho wa siku watatoka hapo yatakuwa kama ya srilanka.
Kama Mwendazake aliweza hakuna atakayeshindwa..Mama kunahaja ya yeye kuangalia washauri wake ni kama haoni mambo yanavyoenda malalamiko ya wananchi ni makubwa yeye ameziba masikio kule Bima huku mfumuko wa bei kila kitu kipo hoi watendaji wake wanakula kuku kwa mlija huku wananchi wakisoma namba kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii kwa kweli nchi yetu kuongoza ni rahisi sana. hii awamu ni ngumu na hatari kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Mama hali ni ngumu mno tena ni ngumu mno hao vijana wako ni matapeli wanakupotosha huku mtaani mambo ni magumu mno watu wamechoka chakali! wanakuita majinamengimengi mwisho wa siku watatoka hapo yatakuwa kama ya srilanka.
Kocha tatizo...timu haina shida, anategemea kamati ya ufundi ambayo wengi ni wazee na majambazi wastaafu!Mawaziri wawili vijana wa nishati na fedha wanaichafua taswira ya taasisi ya urais makusudi.
Wenye chama Chao chukueni hatua.