Kwa maneno kama hayo tu kwenye hiyo comment yako...INAONYESHA WAZI KUWA WEWE NI MWEPESI SANA KWENYE UJENGAJI WA HOJA.Samahani wewe ni MJINGA, yaan samahani sana. NCHI HII KUNA RAIS ALIFANYA MAPYA KAMA SIO MWENDELEZO WA YALIYOPITA? Hivi huwa mnafikirikia kwa kutumia makalio au akili??
Mmetaka alichofanya mmewekewa sasa mnaanza kubishia nini?? Huyo boya wenu MAGUFULI alifanya nini lenye manufaa kwa watu wa CHINI??
Women empowermentMnaweza kunambia ni kipi cha maana alichokifanya rais Samia hadi sasa ambacho kimegusa raia wa kawaida au kumsaidia??
Nambieni ni kipi kakifanya ambacho kinaweza kuwa sababu ya yeye kusema amefanya kazi ya kusaidia wananchi wake
Nataka kimoja tu ambacho kakifanya ambacho tunaweza kusema kimemgusa mtu wa chini tokea awe Rais
Na wala sikumaanisha eti kupata ajira kwa uyo mtu...kuzuie rais samia asitoe ajira kwa wengine.Wewe unamatatizo kichwani, kwani Hayati Dr Magufuli Alikuwa Ni mgombea Binafsi? Kwani Hakuwa na chama? Kama alikuwa na chama ni chama gani? Halafu hata bila aibu unajenga hoja kwa kusema mdogo wako alipata ajira 2018,swali je kupata ajira kwa mdogo wako ndio kulizuia ajira zisitoke kipindi hiki Cha mama Samia? Au mdogo wako kupata kazi ndio ajira zikafungwa serikalini mpaka leo? Au ulitaka kuleta ujumbe gani hapa kuhusu kuajiliwa kwa mdogo wako?
Alipofariki Dr Magufuli mama Samia alikuwa Ni Nani serikalini? Vipi mh kasimu majaliwa? Uliona uchaguzi mkuu ukiitishwa Tena? Unajuwa kwanini haukuitishwa kwa akili yako? Jibu Ni kuwa Ni kwa kuwa mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Alipiga kampeni na aliinadi ilani ya CCM na alikuwa katika utekelezaji wake katika kipindi chote na hata alipofariki Hayati Magufuli na kuapishwa mama samia kwa mujibu wa katiba yetu alikuwa anajuwa kazi iliyopo mbele yake,
Mama Samia Rais wetu kafanya mambo makubwa Sana ndani ya muda mfupi Sana, mpaka amalize miaka yake hiyo 2030 hakika Tanzania itakuwa inapendeza sanaaa na kuvutia Sana, Hutaki unataka huyu ndio Rais Wako tuu labda uhame nchi, na kwa akili yako utaenda kuwa mtumwa ugenini
Wewe kipi umefanya kumsaidia mumeo na watoto wakoMnaweza kunambia ni kipi cha maana alichokifanya rais Samia hadi sasa ambacho kimegusa raia wa kawaida au kumsaidia??
Nambieni ni kipi kakifanya ambacho kinaweza kuwa sababu ya yeye kusema amefanya kazi ya kusaidia wananchi wake
Nataka kimoja tu ambacho kakifanya ambacho tunaweza kusema kimemgusa mtu wa chini tokea awe Rais
Kwani mwendazake alifanya nn cha maana?Mnaweza kunambia ni kipi cha maana alichokifanya rais Samia hadi sasa ambacho kimegusa raia wa kawaida au kumsaidia??
Nambieni ni kipi kakifanya ambacho kinaweza kuwa sababu ya yeye kusema amefanya kazi ya kusaidia wananchi wake
Nataka kimoja tu ambacho kakifanya ambacho tunaweza kusema kimemgusa mtu wa chini tokea awe Rais
Usikatae kila kitu, kipindi cha mwendazake tuliheshim bukuMtaa upi huo tukazisakanye??
Na wala sikumaanisha eti kupata ajira kwa uyo mtu...kuzuie rais samia asitoe ajira kwa wengine.
Na hakuna niliposema Magufuli alikuwa mgombea binafsi SOTE TUNAFAHAMU alikuwa ni wa CCM, Na maana ya kwamba miradi ya maendeleo iliyowepo katika ilani ya CCM awamu ya tano tunaifahamu. Na hadi ivi sasa tupo ndani ya miaka miwili ya awamu mpya ya sita...semeni kipi kipya ambacho hakijaachwa na hayati Magu kimefanywa na mama samia???
Maana itakuwa ni upumbavu leo hii Stiegler's Gorge ikamilike alafu tuseme MAMA SAMIA AMEJENGA KATIKA AWAMU YAKE YA 6. Wakati inafahamika kuwa mradi uliletwa na magu akauwacha ukiendelea kutekelezwa na bajeti yake ikiwa ilishapangwa kabisa. Tokea awamu ya tano.
Hayo ni mawazo ya inferiority complex, badilika uende na wakatiMama Samia anaandamwa zaidi na DINI yake, ila kwa kazi zenye manufaa na UWAZI amemuacha mbali sana MAGUFULI. Uongozi sio vitisho, ni kuongoza kwa taratibu na sheria, Haya Kabudi aliongea wazi kuwa ile ishu ya MAKINIKIA walitung uongo. Sasa ile ilitusaidia nini??
Mada nyingi za Mama Samia zimejificha kwenye CHUKI ZA DINI YAKE. Hali hii hata kwa KIKWETE. WAKRISTO mara zote huwa mnahisi mko njia sahihi, na huwa mna beba sana chuki za kipumbavu.
HAYA NIAMBIE WEWE KUNA JAMBO LINALOIGUSA JAMII MOJA KWA MOJA KUSHINDA AJIRA, UPANDIASHWAJI WA MADARAJA NA VYEO???
Magufuli aliwahi kufanya hayo??? Acha chuki, hazitokusaidia, and pata kujua hii nchi ni ya wote na kila mtu ana haki ya kuongoza.
Rais Samia yupo pale kwenye nafasi ki mkakati. Naweza sema anafanya kitu tunaita katika utawala ni ku turn around nchi, kutoka kwenye mkakati wa siasa za ndani kurudi siasa za nje. Kitu alichokifanya mpaka sasa siyo kibaya ni kizuri na miaka inayokuja hata watu wenye kipato kidogo watafurahia matunda ya Rais Samia. Hivyo tunajua wanyonge hawampendi kabisa Rais Samia ila tunajua sababu kuu ni mabadiliko. Tunaamini ndani ya miaka miwili uchumi wa juu utawagusa hata hawa wa chini na watafurahia. Tuzidi kumuombea Rais Samia aendelee kutuongoza kwa vipindi vingi zaidi.Kama kuna watu 1000 hapa Tz ambao sio wanasiasa wala watumishi wa umma wala wafanyabiashara wanaomkubali rais samia basi nipo tayari kutoa gari yangu
Wanaomkubali Samia kwasasa kati ya watu milioni 60 huku Bara basi hata 1000 hawafiki
Nimetafuta raia wa kawaida anayemuunga mkono huyu bibi hayupo hata 1000 hawafiki nchi nzima
Hakubaliki, hapendwi wala hakuna mwenye hamu ya kumsikia huo ndio ukweli, mtaani ni ngumu sana kumkuta mtu anamkumbali rais Samia ukiachana na watumishi wachache wa umma na wanasiasa, na wafanyabiashara baadhi.
Huo ndio ukweli, mwambieni Rais ukweli kuwa hakubaliki kabisa kwa upande wa Tanzania bara.
Hahaha!...mbona huelewi ndugu, NAULIZA HIVII KATIKA MAZINGIRA YOYOTE YALE HAKUNA MTU DUNIANI ANAYEPEWA MAMLAKA NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA RAIS BILA KUAPISHWA/KIAPO...AU wewe uliona wapi hii??...toa mfano hapa.Sasa wewe unataka kusema huyu Ni Rais wa awamu ya tano , Hivi hata mtoto wako hapo nyumbani akikuuliza huyu Ni Rais wa awamu ya ngapi utamwambia awamu ya Tano? Akikwambia umuhesabie Marais utamwesabiaje mwanao Hadi mh mama yetu Samia Naye awe wa awamu ya Tano?
Pili huyu siyo kaimu Rais Bali Ni Rais kamili wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Ndio maana aliapa kiapo walichoapa Marais wengine walio mtangulia, Hakupewa kiapo Cha ukaimu Urais na Wala hakuna kitu Cha namna hiyo katika katiba yetu, Kama unacho tuwekee hicho kifungu kinachosema huyu Ni kaimu Rais,
Mama Samia Suluhu Hassan Ni Rais kamili wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mwenye mamlaka kamili ya Urais na uamiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Ni Rais kamili mwenye Amri zote na nguvu zote za Urais,
Ukitoa wafanyabiashara ,wanasiasa na watumiaji wa uma utabaki na wakulima na wafugaji+ wanafunzi. Hao wote wanamkubali kinyama.Kama kuna watu 1000 hapa Tz ambao sio wanasiasa wala watumishi wa umma wala wafanyabiashara wanaomkubali rais samia basi nipo tayari kutoa gari yangu
Wanaomkubali Samia kwasasa kati ya watu milioni 60 huku Bara basi hata 1000 hawafiki
Nimetafuta raia wa kawaida anayemuunga mkono huyu bibi hayupo hata 1000 hawafiki nchi nzima
Hakubaliki, hapendwi wala hakuna mwenye hamu ya kumsikia huo ndio ukweli, mtaani ni ngumu sana kumkuta mtu anamkumbali rais Samia ukiachana na watumishi wachache wa umma na wanasiasa, na wafanyabiashara baadhi.
Huo ndio ukweli, mwambieni Rais ukweli kuwa hakubaliki kabisa kwa upande wa Tanzania bara.
Vipo katika ilani aliyoinadi na kuipigia kampeni,Hahaha!...mbona huelewi ndugu, NAULIZA HIVII KATIKA MAZINGIRA YOYOTE YALE HAKUNA MTU DUNIANI ANAYEPEWA MAMLAKA NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA RAIS BILA KUAPISHWA/KIAPO...AU wewe uliona wapi hii??...toa mfano hapa.
Na hakuna mahali nimesema rais samia sio RAIS KAMILI, Bali naungana nawewe kabisa hapo kusema ni rais kamili na ana mamlaka yote ya kiutendaji kama amiri jeshi na maamuzi yote ndani na nje ya nchi kwa niaba yetu watanzania(Maana ata akienda kukopa mikopo hakopi kwa jiani lake bali jina la TZ)
Mbona katiba ilishaweka wazi hili ndugu...
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi hiyo iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu"
Hivyo "endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..." inaeleza katiba ya Tanzania katika kifungu cha 37 (5).
KWA MUJIBU WA MANENO HAYO HAPO MWISHONI(atakuwa Rais kwa MUDA ULIOBAKI katika kipindi cha miaka mitano..). HIVYO YEYE ATAMLIZIA TU KIPINDI KILICHOBAKIA KATIKA HIYO MIAKA MITANO ILIYOSALIA YA AWAMU HUSIKA NA NDIO MAANA NIKASEMA BADO TUPO AWAMU YA TANO...HAISTAHILI KUWA AWAMU YA SITA. Na ndio maana hana/hakuna ilani/Dira ya awamu ya sita Kama mpango wa utekelezaji miradi na Vipaumbele vya Maendeleo kwa awamu yake mpya ya.6.
Na ukiulizwa hapa Vipaumbele vya maendeleo katika awamu ya sita ni vipi utasemaje?...na vimeainishwa wapi??...kama unavyo viweke hapa tafadhali.
Hayo kweli yamemgusa mwananchi...1. Tozo
2. Mgao wa umeme
3. Kenge road
4. Mabwana na Watwana
5. T..EAA kufika T..EAM ndani ya mwezi
6. Mchele kufika sh 4,000 kwa kilo
7. GSM kumleta Mayele
8. Uturuki
9. Chanjo
10. Uhuru wa reiniboo na elijibitii
Au mwananchi ulikuwa unamaanisha Uto? Mbona hayo yako wazi tu, yametugusa sisi uliotutaja!
Kalynda E commerce ,NA HILI NALO MKALITAZAMEMnaweza kunambia ni kipi cha maana alichokifanya rais Samia hadi sasa ambacho kimegusa raia wa kawaida au kumsaidia??
Nambieni ni kipi kakifanya ambacho kinaweza kuwa sababu ya yeye kusema amefanya kazi ya kusaidia wananchi wake
Nataka kimoja tu ambacho kakifanya ambacho tunaweza kusema kimemgusa mtu wa chini tokea awe Rais
Rudia ulicho kiandika, utajigundua wewe una matatizo kidogo.Rais wa kugusa watu wa Chini kwa kupora watu wa juu kwa kulazimisha makosa ya kubambikiana hatotokea tena Tanzania katika miaka ya karibuni
ni bora watu wabaki kuwa maskini kuliko kuwapunguzia umaskini wa kuumiza wengine
Hayo ya dini yamekujaje tena?1. Elimu bure hadi KIDATO CHA SITA
2. UJENZI WA MADARASA
3. KUPANDISHA MADARAJA YA WATUMISHI NA KUONGEZA MISHAHARA YAO.
4. KODI BILA MTUTU WA BUNDUKI NA DHULMA KWA WAFANYABIASHARA.
5. AJIRA SEKTA ZOTE (ELIMU, AFYA, ULINZI NA USALAMA, TAASISI ZOTE NK)
6. BARABARA NYINGI HASA ZINAZOSIMAMIWANA TARURA.
TUNAWEZA KUANDIKA MPAKA KESHO.
NB. CHUKI ZA DINI YAKE USILETE KWENYE MAISHA YA KAWAIDA NA KUTAKA WATU WENGINE WAMCHUKIA. ADUI WAKO SIO ADUI WETU SISI.