nakuunga mkono hata kama alimchukia sana mwenda zake apime kaurizake yake maana bado kuna watu wengi bado wanaona mwendazake alikuwa sahihi kwenye baadhi ya mambo, matendo yawe mengi kuliko maneno asionyeshe yeye ndo mdomo wa kikwete ni mapema sana kwa wao kutangaza ushindi.Kama alivyokuwa mnafiki kwaJPM watakuwa wanafiki kwake nawachumia tumbo walisha msoma sasa ni mwendo wa kukashifu utawala uliopita ambao kwa hakika NI huu huu wake na aliyeondoka ni , sioni tofauti maana hata yeye anatumia vitisho kwa sauti Nyororo mimi nbado nampamuda maana madaraka siku za mwanzo ni sawa na new money mpaka uzoee (New Money Spends by Trends, Old Money Spends by Tradition)Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
kuna watu wako carbon paper kinachoandikwa juu kinatokea chini hawafikirii zaidi ya wanacho karirishwa utasumbuka tuAcha hallucinations..hoja hujibiwa kwa hoja si vioja na maneno ya saluni..
😂😂😂😂😂Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Kwani magu hakufanya kazi awamu ya mkapa na kikwete na mbona alikuwa anasema mabaya
Ni ushamba kyka kujisifia tuna hiki tuna kile halafu katika hicho hakuna unacho nufaika .".....kwani tembo na nyati wanakula hiyo helium hadi tusiichimbe(ndani ya hifadhi)?......" Nimeishasahau ni kauli ya nani, maana siku zinakimbia kwa speed ya mwanga.
Nipo naangalia upande wa kujiunga Kati ya Wafia Nchi au Wafuja Nchi.
cc mama D
Msiwe wanafiki nyie kwa mnavyo muona huyo mungu mtu wenu alikuwa anashaurikaa?na hii ni kazi ya lile kundi tunalo ambiwa limepewa kazi maalumu kuhakikisha kila jambo la mama wanaliponda ili tu kufanya aonekane hafai.Mimi nasema tatizo letu kubwa tulilo nalo wafrika ni Njaa/Shida wakati wa utawala wa Donald Trump tumeona watu wengi tu wakikaa pembeni kwa hiari zao baada ya kutofautiana Itikadi na Boss wao yani Trump na mfano ni John Bolton aliyekuwa National Security Adviser ila pia kuna James Mattis Secretary of defence, Sio hao tu ni wengi tu ila huku Bongo unakutana na Takataka kama Kigwagwala ziko tayari kufanya ujinga wowote ili zibaki na vyeo vyao. Kwa mbali namshangaa mama pia ambae alikuwa Mshauri mkuu wa mzee wetu leo mzee katutoka kila cha mzee hakifai, Pumzika kwa Amani Magufuli hakika Umeacha alama ambazo kama taifa haina muda utakumbukwa, Ni kawaida ya mwanadamu kupenda Kipya ila after sometime hukichoka pia
Serikari corrupt haikusanyi kodi ipasavyo.Ukweli wa Mambo hatuna kiongozi ni matatizo matupu tutajuta ,sababu tunarudishwa enzi za ubwana na utwana .mama upeo wake ni mdogo sana na ujasiri Hana hata kidogo.
Mwacheni Mama afanye kazi msiwashwewashe,; hamjui jinsi watu walivyokosa matumaini chini mwenda zake; hotuba mbili tu watu wameshaanza kuresha furaha hata kama hawana fedha, lakini wanayo amani.Kaza hapo hapo mama.Kama yeye hakutaka kupangiwa maneno nawe Fanya hivyo hivyo.Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Mleta mada unajifanya humfahamu jiwe wewe ??? Nani mwenye ujasiri wa kumpinga Hadharani ndani ya Serikali kama akina Lema walipojaribu kusema ukweli walijikuta wako Jela?
Acheni roho mbaya mpeni Mama Muda atafanya Mambo makuu. Nyota Njema huonekana asubuhi.