Ukiwa kiongozi kuchukiwa ni kawaida sana. Alichokosea ni kumsimanga mwenzake akidhani yeye atapendwa na wote.Habari za jumapili.
Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.
Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.
Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.
2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Jiliwazeni tu, 2025 haiko mbali.siyo uknda wa ziwa, Tanganyika nzima
Mwanamke na urais wwpi kwa wspi sasa hivi ndo anaonja chungu ya wapambe na msoga ganiHabari za jumapili.
Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.
Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.
Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.
2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Sasa kwani huko umeenda kufanya research au maana hao watu unaosema umewakusanya vipi na kupata taarifa zao.Habari za jumapili.
Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.
Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.
Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.
2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Kwa hiyo kanda ya ziwa pekee ndo wenye uchungu na rasilimali zetu eti eeSasa mtu anaambiwa rudisha moyo nyuma, tuliza akili upya ili uachane na mkataba wa kugawa rasilimali za nchi kiubwete yeye anashupaza shingo tu kwa sababu ya "ego" tu, ni nani atampenda mtu wa namna hiyo?
Ngoja waje ma chawa
Kama we hukuongezwa mshahara basi we ni marioo mvivu.Wapi uko
Yaani kuna watz mpk leo bado wanaamini Rais anachaguliwa na wao!Mbona hujui kuandika!? Alafu waambie kabisa Rais wa Tanzania hawekwi madarakani na wananchi,,,hivyo waendelee na kazi zao na wewe fanya yako ujiingizie kipato utachelewa sana.
Hawezi kupata, unadhani manjagu na jeiwii wanakubali aiuze tanganyika, never. Ongea nao uwasikieJiliwazeni tu, 2025 haiko mbali.
Kwa katiba hii wala haihitaji kupendwa na yeyote ili uendelee kuwepo madarakani
Mimi binafsi, nilikuwa miongoni mwa waliokuwa wakimpongeza Rais Samia katika mambo mengi lakini kwenye hili la bandari, kwa kweli amenikwaza sana, na siyo pekee yangu. Kwa watu wale ambao nina uwezo wa kuwafikia, sijaona hata mmoja anayemwunga mkono kwenye hilo.Habari za jumapili.
Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.
Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.
Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.
2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
ZenjiNi wapi huko kwenu ambako kuko tofauti na kwingine kote?
Uku kwetu watu wanamfagilia sana sababu
1:Kaongeza mishihara
2:Ujenzi wa vituo vya afya Kila Kona
3:Ndege ya mixigo
4:Sqr juu
5:Bwawa la mwalimu Jk
6:Kufuata Kodi ya bodi ya mikopo
7:Kupandisha madarja watumishi
8:Uhuru wa vyombo vya habari
9:Vyuo vya ufundi vinajengwa Kila wilaya
10:Na mengine mengi
Kanda ya Ziwa anapendwa Cheyo tu. Ndio maana aliacha kugombea Urais na kujikita katika Ubunge( yaani Rais wa kanda ya Ziwa).Habari za jumapili.
Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.
Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.
Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.
2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Mgawo wanaoupata ni mzito lazima wamfagilieHuko visiwani lazima wamfagilie tu
Ni kweli. Sababu zinaeleweka ila sijawahi kuona wananchi wengi kuwa na chuki kwa rais namna hiii, hasa wale wana CCM waliokuwa hawaambiwi kitu kuhusu ubaya wa kiongozi wao.Kusema kwamba hufahamu kwa nini amechukiwa ni kutokuwa mkweli kwa upande wako. Labda useme hupendi kuzitambulisha sababu hizo.
Shida ni pale mtu kujihesabia haki na msafiUkiwa kiongozi kuchukiwa ni kawaida sana. Alichokosea ni kumsimanga mwenzake akidhani yeye atapendwa na wote.
Mara ooh palikua na simba wa Yuda
Mara oooh watu walikua na nidhamu ya uoga
Mara oooh tunawalipa walioondolewa kwenye utumishi wa umma,mpaka leo imekua kimyaa.
Alipaswa aangalie mbele tu asingejihusisha na mapungufu ya mtangulizi wake.
CoolYaani unaliona jambo hilo kuwa dogo mpaka unasema "Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa Waarabu?" Mali ya Taifa ni jambo kubwa sana.
Pole[emoji16]Mmeshamaliza kujitekenya mcheke kidogo ili tukuleteeni data halisi kutoka huku uraiani waliko raia wa kitanzania?