The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Tena hasara kubwa sanaTuna hasara sana
Sgr hadi leo holaa
Bwawa lenyewe halikamiliki
Mwendokasi chaliii
Umeme ndo usiseme
Maji ya shida
Ufisadi na upigaji tu
Uchumi mbovu
Vitu vinapanda hovyo tu
Nchi nzima mgao kila mahali tz nzima tuna megawatts 1500 tu tunazidiwa na Msumbiji wenye megawatts 185000 (laki na 85) wakati wapo milioni 30 tu sisi tupo milioni 62
Halafu kuna wajinga wanaimba anaupiga mwingi....Kwa lipi haswa? Hii nchi adui namba moja ni ccm
Sasa hivi umeme unafifia hapa hadi taa haziwaki halaf wanaimba anaupiga mwingi hawa watu ni wazima kweli?
Samia angejiuzulu tu hakuna kitu anaweza!!Tuna hasara sana na tuna bahati mbaya sana!!
Kuna watu hata uwenyekiti wa kijiji wasingeweza lakini mfumo umewabeba hadi wanapewa mamlaka kabisa
Tuna bahati mbaya sana
Jana ametuanzishia safari ya kwenda flame za kiarabu.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Tuanpelekwa kuzimu. Unategemea nini wenye macho wanapoongozwa na wenye kutoona uzuri mwanangu?Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ana point ila kutoonesha heshima kwa Rais kafanya tumdharau na kumpuuzaHuyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
mtoa mada unafanya kazi gani? tuanzie hapo, ukinijib ntarudi.
katafute kazi ufanyeSina kazi,Unataka kunipa ajira?
katafute kazi ufanye