zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kitu ambacho hufahamu JPM alipenda kuonekana perfect and invulnerable so angeruhusu Samia ajiuzulu au amkate second round ingeonyesha kuna tatizo kati yao na vitu hivo hakutaka.Hizo ni porojo za vijiweni. JPM hakuwa mtu wa kubembeleza mtu mwingine. Hata uchaguzi wa term ya pili ilikuwa fursa nzuri ya Samia kujiengua, kama angetaka!
Uhuru sio kutoa matusi utajutaSi nimesikia mkishangilia kuwa Mama ni mtu wa haki bin haki anataka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kutoa maoni nk,sasa kwanini mni trace kwa kutoa maoni yangu?
Mdogo wamgu hujui mamlaka ya RAIS wewe. Ungeulizia ABOUD JUMBE.Kama kuna kitu hakikuwa sawa, lakini alishindwa kujitenga nacho, hana namna sahihi ya kukikana isipokuwa unafiki! Where’s collective responsibility?
Namuhurumia sana Mama, Hotuba yake ya Mwisho inaonekana ni Jinsi gani Genge la "Wezi wa Nchi Hii" linamtamani na Limeshaanza kumuingia. Mama Ajiangalie Kuna Baadhi ya Mambo kwenye nchi hii sio ya Kuhitaji Majadiliano na Mtu, yanahitaji mkono wa Chuma kwa manufaa ya Vizazi Vijavyo.Mama hawezi kamilisha hio miradi, kaanza na gia mbaya ya kufurahisha watu badala ya kuonyesha ni mtu wa kufanya maamuzi magumu. Kama hiyo miradi itakamilika itakamilika michache na kwa kusuasua sana na ni ile mbayo wafadhili wanaisapoti, mambo ya stiglers gorge ambayo yalipingwa sana na wahisani atasua sua sana kuimaliza. Sababu ya kusuasua kuimaliza ni kukosa hela ya kuifanya hiyo miradi, pesa nyingi inaenda kutoka sababu wajanja wengi wanarudi kwa mgongo wa rais kakaribisha wawekezaji, pia kudai pesa iwekwe mifukomi kwa watu, ili ufike mahali fulani ni lazima ujibane bane. Ndio hatua ambayo tulikua nayo kwa JPM, ilikua hatua ya mpito.
Yaani hata mwezi haujapita keshaanza kupigiwa simu na wawekezaji ikulu. Picha mbaya wanaenda muweka kiganjani mwao.
Hotuba za mama ziko poa, siyo kufokea watu kumbe wizi ni kama kawaidaHotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Honestily nimesikiliza hotuba zote za Mhe.Rais SSH, na hatua alizochukua , ninaweza kusema bila shaka tuko kwenye njia sahihi kama Nchi! Inawezekeana tu kila mmoja wetu akitimiza wajibu wake!Tumuombeeni ataweza tu, Kwa Mungu kila kitu kinawezekana
Mkuu hawa watu walizoea kula na kunywa kupitia uongo na vitisho vya meko, wakae watulieSamia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Hakuna vision hapo.Huyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.
Sidhani kama ana vision.
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi.
Samia ana tatizo kubwa. niulize nikwambie tatizo lakeWafuasi wa Jiwe hamuamini macho yenu. Jiwe halinyanyuki tena . Muosha huoshwa . Wakati Jiwe linasema nchi inaibiwa kupitia mikataba mibovu. Kwani hakuemo kwenye baraza la Mkapa (rip) na baraza la Kikwete ?!. So kilichosababisha Maghufuli kukaa kimya kwa waliomtangulia ndicho kilichosababisha Rais Samia kukaa kimya kwa Maghufuli.
Odhis *
Alikuwa makamu P?Kwani magu hakufanya kazi awamu ya mkapa na kikwete na mbona alikuwa anasema mabaya
Hotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos