Ndugu yangu ni mapema mno kuweza kumuhukumu Raisi aliyekuwepo madarakani kama anafaa au hafai. Kwa maoni yangu mama Samia anatosha kabisa kuwa mkuu wa nchi, kwanza mama Samia alikuwa makamo wa raisi hivyo ni tosha kuwa uraisi kwake si kitu cha kujaribu kwani amekuwa makamo wa raisi kwa miaka mitano ya mwanzo na sasa amekuwa raisi kamili. Mama Samia ni mstaarabu, muungwana na mwenye khofu na Mungu hivyo usidhani atakuwa anatoa maamuzi ya haraka haraka, hao wenye kugombana ndiyo hao watakaopatana kwani wana kamati zao za maadili hivyo wamalizane wenyewe, raisi ana mengi ya kufanya siyo huo ugomvi wa watendaji wa serikali.Huo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.
Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.
Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Hapo ampe nguvu majaliwa , atamsaidia Sana asimbeze jamaa anaweza , vinginevyo mambo yatamharibikia , nchi ni ngumu kuiongoza .... Yeye abaki Tu kusimamia na kurekebisha mana yeye ndo final and high command, Ila asiwe mbishi na asiye jali raia kama alivyokuwa Jiwe....kwenye usimamizi nilikuwa pamoja na Jiwe, Ila kwenye matumizi tulitofautiana vibaya Sana na jamaa
Kumbuka pia kuwa mama Samia ndiye mteuzi mkuu wa hao woote ulio wataja hapo juu.Baraza lote ni kanda ya ziwa,DPP,Jaji mkuu,IGP,CDF, MaDeD karibia wote,RC karibia wote, DC karibia wote, takukuru,TISS. Hao wote ukanda ule. Leo mnasema ataongoza Tz. Yetu macho
Inasikitisha sana! Toka achaguliwe hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa ya kimkakati
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Inaeleweka kwenye mada kama hii kuna mchezo wa kijinga na kitoto unachezwa. Ushauri; acha kujipotezea muda.Kama hana uwezo hana tu... hata apambwe vipi kama hana na hatakuwa nao.
.....ANAWEZA....
Hata Msukuma KashekuTuambie unamtaka nani??
Unapomkataa yeye unamtaka nani?
Unayeona anafaa.
Usiogope mtaje tu hata kama ni Askofu Rashid.
Au waweza hata kusema badala yake awe Bashite.
Pendekeza tu yupi anafaa Bashiru au Slow
Everyday is Saturday............................... 😎
CDF anamuangaliaaaaaaaKumbuka pia kuwa mama Samia ndiye mteuzi mkuu wa hao woote ulio wataja hapo juu.
Na tayari ashasema kuwa mtu akimzingua basi wanazinguana kwa nguvu zoote.
Kama ndiye mteuzi wao jua pia kuwa anaweza kuwatumbua muda wowote .
Bado yupo kwenye ratiba ya walinzi wa kaburiHajui hilo nadhani huyu Bado hajamaliza matanga
Hilo kundi ni kubwa sana, unajua tunampuuza bure Mange Kimambi ila kuna point anazisemaMleta mada utakuwa umetumwa, sio bure. Unatumika kwa faida ya nani, naomba ujiulize.
JESUS IS LORD!
Wanawazushia tu na rais bado atabakia kuwa ndiye rais na amirijeshi mkuuCDF anamuangaliaaaaaaa
Kwa hiyo unamkosoa Mungu aliye amua kwamba mja wake mmoja awe Mwendazake na mja wake mwingine awe rais?! Umechoka kupumua, umekua vere bored?!Huo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.
Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.
Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Inaonekana hujui kabisa namna kesi zinavyoendeshwa mpaka kumtia mtu hatiani.Ushahidi naleta mimi au alete yeye kunithibitishia hajaiba? Unatumia nini kufikiri?
Na mtazidi kuteseka sana. Maana hata meko hakuna la maana kafanya.Ana nia njema na Tanzania but the woman is not realistic.
Ndani ya mwaka atakuja gundua agenda zake sio realistic na kuisogeza Tanzania au nchi yoyote ndani ya Africa its a hands-on job hizi sio nchi za laissez or democratic leadership.
Worst anatoa pressure serikalini investment za kimkakati zikamilike haraka bila hata ya kujua impasse zipo wapi kwenye negotiations, watu watakuja kuingia mikataba ya ovyo huko kwenye Oil and Gas kisa hizo pressure zake.
Mabeberu hawana haraka wana source luluki za hizo resources, Norway ambae ni mmbia kwenye huo mradi, ndio supplier mkubwa wa Gas Europe so wanaweza vumilia mpaka serikali ilegee iingie mkataba wa ovyo wa muda mrefu. Yeye kutwa amekazana plant ya LNG ijengwe not sure ata kama anaelewa elements za negotiation zenyewe.
90% of her speech was pure fantasy, huo ndio ukweli in hayati’s voice; the woman is not realistic.