Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,176
- 2,479
Dhambi ya uchafuzi uliotendeka 28/10 itaendelea kuwatafuna. Ila "tune" ya andiko lako ina vinasaba vya mwendazake.Huo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.
Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.
Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Hawa mwendazake alikuwa hasafiri nje ya nchi, ila ndani ya nchi ilikuwa Dar Chato mara 4 kwa mwaka, wanakula miposho ya SAFARI, kuliko hata anayeenda New York.Ziara za nini?
Nyie mnaelewa kazi za Rais kweli???
Hao mawaziri, manaibu, makatibu wakuu,wakuregenzi, wakuu wa mikoa, wilaya, wana kazi gani kama mnataka kuona sura yake kila mahali??
Jiwe aliwazoesha vibaya sana.
Hapa nikumwonea wazi wazi, yaani mtu hata kujipanga vizuri bado aanze na maziara?Inasikitisha sana! Toka achaguliwe hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa ya kimkakati
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu; "you seem to be gender insensitive". Wanawake wanaweza bila kuwezeshwa.Ni kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida.
Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
Uchaguzi ulifanyika lini??Inasikitisha sana! Toka achaguliwe hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa ya kimkakati
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hill ni jawabu sahahi. Hana interest na hiyo miradi. Anaota mambo yanayo husu taifa la kudemka .Inasikitisha sana! Toka achaguliwe hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa ya kimkakati
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
A lift in CCM ranks in offing?Timu Magu kazini.
Ujue kuna muda wakuzibua watu vibao washtue mzee alishafariki na lazima kukubali utawala mpya.
Hayo ulosema yapo tangu muda tuu sema wakati umelewa mvinyo wa maneno ya Magu ulikuwa huyaoni.. Alafu ule ulikuwa sio uongozi ila ni ubabe.. Mlipendelewa nyie timu kuabudu alafu wengine wakiumia . Sa hivi kibano kimegeuka mnalia.
Sasa mnataka aendeleze ya hayati, akiendeleza mnasema kaiba, afanyeje nyie binadamu?Ushahidi naleta mimi au alete yeye kunithibitishia hajaiba? Unatumia nini kufikiri?
Kuna aliyebishana na ww kuhusiana na hili!!??Jiwe ameshakufa na harudi tena,Endelea tu kupiga ramli.
Waswahili bhana, waswahili ni waswahili tu.Kuna aliyekuita kwani!
Hapo sio sawa, hiyo ni kumpa free ride. Akivurunda awajibike kivyake....Rais ni mbeba maono wetu akivurunda ni sisi watanzania tumevurunda, nguvu yetu ni yake...
Upeo mkubwa kusema "kile kitalu C asiweke mtu mkono wake, kina kazi maalum!". Kweli nyumbu mko brain washed kwa kweli.Kwani anaibeba Tanzania kichwani?
Kwwnza Mh. Samia ana upeo mkubwa kuliko yule mpenda masifa
Kumbe nchi uongozwa na maono ya mtu na sio taasisi katiba na sheria ilizojiwekea?Sasa moja kwa moja kwenye mada husika,tangu huyu Mama aingie madarakani nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wake,ingawa kweli ni mapema sana kuanza kumtolea hukumu,lakini nachelea kusema huyu Mama HATUFAI hata kidogo especially kwa wale tunaotaka kuona Tanzania inapiga hatua za kweli za kimaendeleo na sio siasa,
Kwa sasa nisingependa kuongea mengi ila ninachoweza kusema ni kwamba HAJUI Taifa hili linataka nini ili kujikomboa,anaonekana ni mtu wa KUFURAHISHA watu tu,bila kujali hii inchi inaathirika au inafaidika vp na anachokifanya,nauona mtindo wa utawala wa Kikwete ukijirudia kwa kasi sana nchini,
Ni dhahiri mpaka sasa huyu Mama anafanya mambo kwa kupangiwa au kuchukuliwa na upepo tu wa kwenye mitandao ya kijamii lakini yeye binafsi hana mipamgo na maono yoyote ya kueleweka juu ya Tanzania.
Tumwombee afya njema ni kiongozi mzuri. Kwake yeye JK ndio alimkaribisha katika maisha ya kiuongozi alipokuja huku Bara.Nyumbu hamjui maana ya kukopy na kupaste siyo. Magu kwenye vibali hakusema alichosema huyo b mkubwa wenu. Hizo stori za kupunguza mifugo kwa wafugaji ni akili za kimsoga msoga. Kama ulikuwa umepevuka tayari mwaka 2005 utaelewa namaanisha nini.
Pia Magu alianzisha Nyerere National Park ili pamoja na mambo mengine tuilinde Uranium yetu mpaka pale tutakapoweza kuishughulikia wenyewe. Sasa huyu anayesema tuchimbe maana wanyama hawaihitaji ndiye wankumfananisha na Magu kweli!
Acha dharau. JPM mfananishe na JKN siyo hawa wa uhuru wa manyani. Katika vyote alivyowahi kufanya JPM, kosa lake kubwa zaidi ni kumpendekeza huyu timu msoga mwaka 2015.
Kama unasema hivyo basi hayati was right kufanya alichoona kinafaa sawasawa na katiba ilivyompa privillage...To every right there is a responsibility kama tunataka asivurunde ni jukumu letu kumpa viable options ili yeye akiacha kuchagua au akachagua vibaya awe responsible, short of that ni uonevu na tunakinbia uwajibikaji kama raia wa nchi yetu.Hapo sio sawa, hiyo ni kumpa free ride. Akivurunda awajibike kivyake.
Tarrtiibu nitakukuza binti hahaa.Wewe huna akili,utateseka bure haiwezekani humu kila mtu awe na mawazo kama yako humu kila mtu yupo huru kutoa maoni yake sasa matokeo yake ndio hayo,ila kwa matusi hapa umefika bado kinda sana na nakuambia wazi siwezi kumsifu kwa lolote huyo mbwa wako unayempigania
Nchi sio mahabara.... Its a real staff with real people... Apishe kisitaarabu tu.Hizi ndizo akili zenyewe zinadumaza maendeleo ya mtu mweusi. Ndizo akili ambazo zinaufanya umaskini uendelee kuwepo kwenye mataifa mengine ya dunia ya watu duni.
Mama anaowasaidizi wengi wanaume, urais ni taasisi mkuu. Inabidi uelewe maana pana ya urais kuwa taasisi.
Wanaume watano wameongoza TZ na bado malalamiko yanasikika kutoka kila kona, ngoja Mama apewe miaka hii minne tuangalie wanawake nao watatufikisha wapi.
Alichomekewa hakuwahi mpendekeza... She was there for the purpose, chaguo lake was Dr Mwinyi... But kwa kuwa Msoga aliwahi kutafuna (ndio ukweli) akamguide.Nyumbu hamjui maana ya kukopy na kupaste siyo. Magu kwenye vibali hakusema alichosema huyo b mkubwa wenu. Hizo stori za kupunguza mifugo kwa wafugaji ni akili za kimsoga msoga. Kama ulikuwa umepevuka tayari mwaka 2005 utaelewa namaanisha nini.
Pia Magu alianzisha Nyerere National Park ili pamoja na mambo mengine tuilinde Uranium yetu mpaka pale tutakapoweza kuishughulikia wenyewe. Sasa huyu anayesema tuchimbe maana wanyama hawaihitaji ndiye wankumfananisha na Magu kweli!
Acha dharau. JPM mfananishe na JKN siyo hawa wa uhuru wa manyani. Katika vyote alivyowahi kufanya JPM, kosa lake kubwa zaidi ni kumpendekeza huyu timu msoga mwaka 2015.