Huyo brother yawezekana amekumbwa na post traumatic depression ya kumpoteza mwendazake. Ile sudden death imewavuruga baadhi ya ndugu zetu wa praise team. Ilichobaki TuwaombeeSoma tena ulichokiandika, huwenda upo katika hali ya hasira ama msongo wa mawazo. Ni hivi ndani ya siku 60 hivi, ukitegemea muujiza wa bei za usafiri na chakula na mafuta kushuka ghafla utakuwa hasa hujui unachokitegemea, mwendazake alikaa madarakani miaka mingapi ? Hayo unayoyasema yalipatikana ? Kama hayakupatikana unayategemeaje ndani ya siku 60 za Rais Samia ? Hatuwezi kuwajibu kuhusu madai kua rais samia anahema kwa uoga maana tunajua mnajifurahisha ma hata nyinyi mnajua mnajifurahisha tuu.
Utakuwa umejifunza kitu hapa,kwamba mwendazake hakupingwa kwasababu ya chama chake alipingwa kwasababu ya ubabe wake.Wale tuliokua tunawaita nyumbu naona sasa ndo wako na mama. Maneno yao ya kejeli na ushabiki tu. Kinachonisikitisha hakuna chama cha upinzani serious ila kama kitakuja kuwepo ntakupigia kura za hasiraaaa
Wamuache Mama. Si anachopambania ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Tunawahitaji wakenya, kama walivyo waganda warundi, wacongo na banyamulenge kule RwandaAcha porojo wewe?
Mwache mama apige kazi
Ova
Nchi iliimarika kipindi cha JPM nchi iliharibika kipindi cha miaka 10 ya JK.Natamani JPM angemalizia miaka yake 10Wakati wa Mwendazake vs wakati wa JK ni kipindi gani nchi ilisimama?
Kama hutaki hamia North korea kule hakuna kusafiri
Nchi iliimarika kipindi cha JPM nchi iliharibika kipindi cha miaka 10 ya JK.Natamani JPM angemalizia miaka yake 10
Akitupatia maisha mazuri, furaha, pesa, uhuru,ajira na maendeleo wacha atembee zake wala hatuna shida naye
Sijui yeye atakuwa na mtizamo gani katika hilo. Lakini tutegemee maisha yale mazuri ya kipindi cha kikwete katika awamu hii. Ya kila mbuzi kula kutokana na urefu wa kamba yake.
Mungu anisamehe...hayati Magufuli amefanya mengi mazuri lakini sikuwahi kufurahia utawala wake kamwe.....sitakuja kuutamani naomba Mungu anisaidie katika maisha yangu yoote yalisalia nisipitie utawala kama uleInashangaza Sana,jamaa Wana balaa Sana,
Eti wanamtaman mwendazake arudi zake Tena??hawa wendazim au
Ur still a learnerTutegemee mambo mengi toka kwa Rais Samia Suluhu. Mojawapo ni tabia nyingi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Nne Ndugu Jakaya Kikwete.
Safari zitakuwepo nyingi sana na majambazi yatampangia safari nyingi ili yabaki yakiiba pesa za umma. Kuna uwezekano mkubwa sana wa Nchi kusimama.
Lakini faida ni yeye katika kutaka kuwafurahisha watu kwa furaha za muda mfupi huku nchi baadaye ikiingia kwenye majanga
Wauzaji wa madawa ya kulevya na biashara haramu wanaanza kurudi wakiamini sasa watakuwana nafasi ya kuja haribu tena maisha ya watanzania. Mtandao wao unafahamika ulikuwa mkubwa mpaka ndani ya Serikali kuu.
Sijui yeye atakuwa na mtizamo gani katika hilo. Lakini tutegemee maisha yale mazuri ya kipindi cha kikwete katika awamu hii. Ya kila mbuzi kula kutokana na urefu wa kamba yake.
Tofauti na kikwete labda ni kuwa Speeches za huyu mama anaongea kwa utulivu na anakuwa amejipanga. Kikwete hakuwa na mvuto wa kuongea au kusikilizika. Tofauti ya kikwete na magufuli ni kuwa magufuli alikuwa na maneno makali but kikwete maneno yasiyo na maana.
Kama tunapenda speeches nzuri basi tutaendelea kuzipata kila mara. Hizi mama atajitahidi kuendelea kuwa nazo. Na kwa kuwa tulizimiss kila baada ya speech tutampongeza sana kwa kutufariji. Na ni kweli watanzania wanapenda maneno ya faraja. Tuendelee kupata.
Mnaweza kidogo mkachanganyikiwa kwa nlichoandika. But ndani kwenye threads mnaweza pata some points.mengine achana nayo