Binafsi nashauri uhame nchi kama umeumia sana, Jiwe is no more, gereza liko wazi sepa zako acha kuwa mtumwa wa kujitakiaKuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.
Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.
Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?
Watanzania tujitafakari sana.
Cha kupoteza unacho, na bado vipo vingi vitapotea, wew kaa kwa kutulia usikilizie tu. Yaani mimi siku bashite naye akichunguzwa ntakuwa na raha sanaMama mwenye nyumba anashikwa masikio mitandaoni kwa masilahi ya kundi fulani. Wakati anaingia alitaka kubalance viongozi wake kwa uwiano sawa kati ya wavaa vibarakashia na wale wa misaraba. Hili swala liliwashitua sana wavaa misaraba kwan ni kitu ambacho hawakukitarajia wala kukizoea. Wakaingia mitandaoni na baada ya hapo mama akarudi kule kule kwa wenye misaraba 10 au 15 huku vibarakashia wakiwa 1 au 2 ktk teuzi zake. Sasa hivi kuna kundi lingine ambalo linapigania masilahi na uhai wa chama chao mitandaoni, mama mwenye nyumba ameonekana kuwaelewa na kufanya yale wanayoyataka. Yetu macho wengine tunachangia tu lkn hatuna cha kupoteza.
Hiki unachohubiri kilikuwa kinafanyika kipindi kile ..hivi sasa hicho hakipo ndio maana kunafanyika uchunguzi.Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.
Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.
Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?
Watanzania tujitafakari sana.
Na kumtemea mate pia kwenzi pekee halitoshi.Ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi
Hi
Hiyo kama kweli ilitokea mie siiungi mkono! Ni mbaya sana kuonewa i see!
Acha basi hizo! Mambo gani hayo tena😂😂😂😜!Kwamba miaka mitano ya utawala wa jiwe ulikiwa shimoni ndio umeibuka sasa hivi?!
Na kwa siasa za uhasama mlizofundishwa na mwendazake, kuchunguzwa ni fungu lenu. Vumilieni tu machungu kama tuliyoyavumilia kipindi cha mwendazakeHeh, usenge tena!? Kama wamefilisiwa kwa mujibu wa sheria sioni shida! Hata hivyo kwa siasa za wapinga vyote walioionesha miaka ya hivi karibuni...kufirisiwa lilikuwa fungu lao😜!
Kundi hili jaman linateseka 🤣🤣🤣👆👆👆 halaf ndo miez miwil tu shubaaamiiit!!!Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.
Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.
Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?
Watanzania tujitafakari sana.
Nyie tuchunguzeni tu, mtakapomaliza kutuchunguza, nchi itakuwa low income country tena chini ya somalia na south sudan! Yetu macho kushuhudia mnaanza tembeza bakuli😠😠!Na kwa siasa za uhasama mlizofundishwa na mwendazake, kuchunguzwa ni fungu lenu. Vumilieni tu machungu kama tuliyoyavumilia kipindi cha mwendazake
Huyu atakuwa OLE huyu co kwa mapovu hayaKuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.
Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.
Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?
Watanzania tujitafakari sana.
Mbona inatumika nguvu Kubwa sana kumtetea ole sabayaKuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.
Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.
Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?
Watanzania tujitafakari sana.
Kama anauhakika na hizo allegations kwa nini asimtumbue nq kuteua wengine?