Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

Elon J

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
635
Reaction score
1,907
Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki.

Hasa Dodoma
🙏🙏🙏🙏
 
Be specific minada iko mingi, unataka minada ya nguo, kuku, ng'ombe au mazao
 
Happy minada ninayo ijua mikubwa ni mnada mpya, msalato na mnada wa hombolo
 
Morogoro KIKUNDI jumamosi, SABASABA jumapili.

Tanga TANGAMANO jumanne, alhamis na jumamosi

Hapo wanauza vitu mchangyiko.

KUKU nenda SOKO LA NGAMIANI, MBUZI sijui liko wapi NG'OMBE napo sijui.

Morogoro SOKO LA CHIFU KINGALU soko jipya hspo utspata bidhaa za vyakula.

Minada ya Ng'ombe na mbuzi Sana sana Iko mikoa ya wafugaji DODOMA, ARUSHA,. MANYARA, SHINYANGA, TABORA KANDA YA ZIWA KARIBU YOTE.
 
Back
Top Bottom