The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa hiyo alivyoipigania ikajengwa au? ππ Chuki zitawaua mapema Sana kama zilivyomfanya Mwendazake.Iyo barabara ni Kitambo sana na Halima Mdee aliipigia sana kelele na hadi leo haijaisha
Hujui kitu kuhusu hiyo barabara kaa kimya ww watu wa makongo ndio tunaijua iyo roadKwa hiyo alivyoipigania ikajengwa au? [emoji16][emoji16] Chuki zitawaua mapema Sana kama zilivyomfanya Mwendazake.
Kila siku tunawaletea Takwimu humu hamuelewi,kwa taarifa yenu Samia kwenye Kila sekta unayoijua wewe si tuj anafanya bali aliongeza bajeti..Kazi za ujenzi anafanya sana tu ila kurugenzi ya mawasaliano ya Shaban Kisu ilikuwa hopeless
Kukaa kimya kutosema kilichofanyika watu wanadhani labda hakuna kinachoendelea na yeye Mama Samia kujieleza mafanikio yake au anachofanya midomo mizito tofauti na Magufuli
Kinywa cha Mama Samia kizito
Mimi binafsi nilikuwa najua huyu mama hamna kitu lakini baada ya kupata taarifa zenye takwimu nikaamini kafanya makubwa mengi ila watendaji wake na yeye hawayasemi utasikia tu ohhh mama anafanya kimya kimya tofauti na mtangulizi wake Magufuli mpiga yowe kila kitu anaita press!!! Sera gani hiyo ya kimya ?eleza tu kodi za watu nini umefanya usiogope au kuona aibu .
Zuhura Yunus nadhani hili aliangalie akutane mara kwa mara na waandishi wa habari kuwaeleza what is going on so far aliyofanya Mama Samia
Mama Samia anasifiwa tu kwa madarasa tu si kweli na yenyewe anasifiwa sababu ya Ummy Mwalimu alikuwa ndiye aongea mara kwa mara kuwa mama kajenga madarasa nchi nzimav public ndio ikapata information
Mawaziri wengine igeni Ummy Mwalimu pia kueleza nini kinafanyika kwa sasa wizara zenu kwenye public vinginevyo Hamtetendei haki mama Samia anaonekana hana alifanyalo
Kula unasweMtuache. Tunakula kufidia lile pengo la miaka ya jiwe.
Mama kasema tule. Mimi ni nani niende kinyume na agizo la Rais?Kula unaswe
Mambo ni mengi mda ni mchache, acheni kuangalia pono angalieni TV vyote mtaviona. πSidhani Hata JK alikuwa na tatizo hilo hilo la Samia anafanya mengi halafu hasemi wala mawaziri hawasemi ndio maana alikuwa anaonekana kama dhaifu asiyefanya kitu
Kodi za watu kutumia piga yowe presss kuwa angalia kile kinafanyika
Nina Imani na Zuhura Yunus ata coirdinate hilo zoezi kila mwezi mawaziri wote wapeleke briefing ya nini kinafanyika positive wizara zao wampe raisi atumie kuhutubia hotuba ya kila mwezi as a monthly progress report kuongea na watanzania ukimya sio mzuri
WAcha bwana mkachangishana weee pesa afu mkajenga ππHujui kitu kuhusu hiyo barabara kaa kimya ww watu wa makongo ndio tunaijua iyo road
Imo ndio imeanza kipande hicho cha kwanza na daraja lake,hiyo ni barabarani kuu ya EAC inafadhiliwa na AfDBHivi Pangani to Bagamoyo imo kwenye ratiba? Au ni hiki kipande tu
Mpinzani wa maendeleoMATAGA wameomba commercial break watoe burudani kidogo kwani siku bado ni ndefuπππ
View attachment 2105411
Nani aliyekula unayemfahamu wewe? Pesa ya serikali hailiwi kirahisi kwa sasa pesa iko kwenye mfumo kuitoa tuu ni ishu.Huyu mama siyo mwizi shida usimamizi tu ni changamoto kwake ndiyo maana wahuni wanaokula kulingana na urefu wa kamba yao hawawezi kusema hafanyi kitu hata siku moja
Watafute TikTok,insta ,fb na kwenye ujinga mwingine ila kwenye mambo ya msingi huwezi kuwakuta huko..Kuna r
kwenye kurasa za TAMISEMI kuna mengi yame fanyika. Ila watanzania ni watu wa kupinga na chuki binafsi. Mtu ana mchukia JK ukimuuliza hana sababu.
Mbona hati chafu zipo nyingi kila ukaguzi ukifanyikaNani aliyekula unayemfahamu wewe? Pesa ya serikali hailiwi kirahisi kwa sasa pesa iko kwenye mfumo kuitoa tuu ni ishu.
Lini ziliwahi isha hizo hati chafu? Hati chafu ni kukosa nyaraka ambatanishi ,sio lazima kwamba watu wameiba..Mbona hati chafu zipo nyingi kila ukaguzi ukifanyika
Natumia facebook kidogo kwakua kuna habari za haraka, ila sasa mtu ana mtukana January Makamba ukimuuliza sababu hata hajui utaskia team msoga.Watafute TikTok,insta ,fb na kwenye ujinga mwingine ila kwenye mambo ya msingi huwezi kuwakuta huko..
Afu watu wengi wa mjini huwa hawaoni impacts ya maendeleo kwa sababu Wana options nyingi.
barabara iko wapi hapa?WAcha bwana mkachangishana weee pesa afu mkajenga ππ
tunataka inayojengwa sio iliyoko kwenye mipango. Kwa tz mipango kibaoNenda website ya TANROADS kuna miradi yote. By the way, miradi ya barabara sio kukurupuka.