Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Solo amekomaa kudai kwamba Afande Sele hakustahili kupewa Ufalme.
Kwangu hili sio issue sana kwa sababu hata mimi nilishangazwa Afande Sele kuwa zaidi ya Prof. Jay na Solo Thang. Afande hakuwa anawazidi chochote Jay na Solo. Lakini nikaamini wakati mwingine kuna mazali; Afande alipata Zali la Mentali
Kilichonistua ni Solo kudai kwamba Afande alipangwa na kina Eric Shigongo. Solo anamlaumu Afande kwamba alisaliti game kwa kukubali kutengenezwa King wa uongo bali ya ushindi wa kweli
Ukweli ni upi? Anayejua huu ukweli atumulikie