Anayejua ukweli wa madai ya Solo Thang kwa Afande Sele, atuambie

Solo amekomaa kudai kwamba Afande Sele hakustahili kupewa Ufalme.

Kwangu hili sio issue sana kwa sababu hata mimi nilishangazwa Afande Sele kuwa zaidi ya Prof. Jay na Solo Thang. Afande hakuwa anawazidi chochote Jay na Solo. Lakini nikaamini wakati mwingine kuna mazali; Afande alipata Zali la Mentali

Kilichonistua ni Solo kudai kwamba Afande alipangwa na kina Eric Shigongo. Solo anamlaumu Afande kwamba alisaliti game kwa kukubali kutengenezwa King wa uongo bali ya ushindi wa kweli

Ukweli ni upi? Anayejua huu ukweli atumulikie
Kuelekea October 29 mtawekwa busy kwa kila ujinga
 
Solo namkubali kiasi chake, lakini ukifuatilia sana ngoma zake, utaona ni mtu mjivuni alafu ana lugha ya matusi japo anatumia tafsida.

"vidato sita nilivopitia ndo vinavonisaidia hata kama wakinibania"
"Kuna kupara miwa na kupara samaki'
"Huku Mombasa ukiwa punga watu wanatwanga"
"Dume zima shanga kiunoni"-
"Kama inabana leta tuitanue"
"Tamaa ikizidi sana watu watakupakata"

Hiyo ni baadhi ya mistari katika nyimbo zake. Japo nikimsikiliza kwenye "Homa ya dunia" naona ilikuwa na ujumbe kwa hadhira.

Lakini Sele nyimbo zake hazina lugha chafu. Yaani zina ujumbe mzuri.

Sisemi Sele ni mkali kuliko Solo.
sasa kwanini utuache njia panda sema nani mkali
 
Tatizo watu hawaelewi mashindano yale yalikua yanahusu nini,mashindano yake hayakua kutafuta mkali wa muda wote, mashindano yalikua ya mkali wa rhymes kwa mwaka ule,kama shindano la umiss,.

Na kama unafatilia music kipindi kile afande sele alikua untouchable na ana album ya mkuki moyoni sokoni bado mpya..

Jay mkali sana sio level ya Afande sele but shindano limekuja Sele ana Mtazamo,Darubini Kali,Mkuki moyoni hizo zote hits..

Waliokwenda ukumbini wanasema kila mtu alijua kua Jay anashinda but after performance ya kila msanii wa top 3 Sele alipata shangwe ukumbi wote kuzidi msanii yeyote usiku ule.so it was about timing, upepo,zali..

Technically Solo mkali zaidi ya afande sele but musical wise Solo ana catalog gani ya kushindana na Sele?au versus ngoma kwa ngoma?..

Malaria
Mkuki moyoni
Mayowe
Mtazamo
Darubini kali
Karata dume
Msinichukie
Dini tumeletewa
Mtu na pesa
Dunia Ina mambo
 
Sele ni mtu mwingine, acha na ngoma alizo record,ukimpata kwenye One on One ni Levels nyingine
 
Kilio changu unaijua

Sasa kilio changu ndiyo uifananishe na ngoma ipi ya sele?! Yaani nikuwekee kilio changu na mkuki moyoni utaenda na mkuki moyoni?! Sasa weka top 10 ngoma za Solo nitaweka 10 ngoma za sele ili tuelewane
 
Tatizo watu hawaelewi mashindano yale yalikua yanahusu nini,mashindano yake hayakua kutafuta mkali wa muda wote, mashindano yalikua ya mkali wa rhymes kwa mwaka ule,kama shindano la umiss,.

Na kama unafatilia music kipindi kile afande sele alikua untouchable na ana album ya mkuki moyoni sokoni bado mpya..

Jay mkali sana sio level ya Afande sele but shindano limekuja Sele ana Mtazamo,Darubini Kali,Mkuki moyoni hizo zote hits..

Waliokwenda ukumbini wanasema kila mtu alijua kua Jay anashinda but after performance ya kila msanii wa top 3 Sele alipata shangwe ukumbi wote kuzidi msanii yeyote usiku ule.so it was about timing, upepo,zali..

Technically Solo mkali zaidi ya afande sele but musical wise Solo ana catalog gani ya kushindana na Sele?au versus ngoma kwa ngoma?..

Malaria
Mkuki moyoni
Mayowe
Mtazamo
Darubini kali
Karata dume
Msinichukie
Dini tumeletewa
Catalogue ya Solo hii hapa kaka

1. Simu Yangu Ft Soggy na Jay more
2. Kilio changu ft q chief
3. Homa ya Dunia
4. Solo na Mpenzi
5. Si rizikii
6. Tafadhali Ft Nguza viking
7. Vina Utata
 
Solo Hana hit song hata moja zaidi ya verse yake kwenye Mtazamo. Without Mtazamo, Solo is nothing
 
Tatizo watu hawaelewi mashindano yale yalikua yanahusu nini,mashindano yake hayakua kutafuta mkali wa muda wote, mashindano yalikua ya mkali wa rhymes kwa mwaka ule,kama shindano la umiss,.

Na kama unafatilia music kipindi kile afande sele alikua untouchable na ana album ya mkuki moyoni sokoni bado mpya..

Jay mkali sana sio level ya Afande sele but shindano limekuja Sele ana Mtazamo,Darubini Kali,Mkuki moyoni hizo zote hits..

Waliokwenda ukumbini wanasema kila mtu alijua kua Jay anashinda but after performance ya kila msanii wa top 3 Sele alipata shangwe ukumbi wote kuzidi msanii yeyote usiku ule.so it was about timing, upepo,zali..

Technically Solo mkali zaidi ya afande sele but musical wise Solo ana catalog gani ya kushindana na Sele?au versus ngoma kwa ngoma?..

Malaria
Mkuki moyoni
Mayowe
Mtazamo
Darubini kali
Karata dume
Msinichukie
Dini tumeletewa
Hivi mtu na pesa sijui mtu pesa ile ilikuwa album yake ya ngapi ya afande sele? Nadhani kuna mayowe og mle acha ile remix alikuja kutoa baadae
 
Back
Top Bottom