Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Umesikia traki yake ya Shangazi Kaja? HatariSolo Thang Ulamaaa"mwanazuoni aliyekomaa"...
Hapa Fid Q alitupigia zigo Soggy lakini hata yeye msimamo wake ni huo huoMfalme wa rymes, ambaye soggy dog hamtaki,
anamuita kobe, amuwezi mzidi mbio farasi
Ndio.. si kila ndio...
Inatoshaaaaa,
Mkuu ile ngoma ya Solo Thang na Prof Jay Mtazamo haujawai kuchujaa..Mtizamo mkuu
Naipenda mpaka keshoMkuu ile ngoma ya Solo Thang na Prof Jay Mtazamo haujawai kuchujaa..
Niite Mwananzuoni aliyekomaa au Ulamaaa ,ukipenda Msafiri kondo aka Travella ,nipo ulaya nawakilisha masela! Nimesonga nipo mbele wanga wana vieleele masela wanasema nimecheza kama pele ,mimi ndiye msanii pekee sifugi rasta sina heleni ila nina vina tele na mimi si MGAMBO SELE sitodharua machizi kwa pesa mbuzi ya Mchele.Solo amekomaa kudai kwamba Afande Sele hakustahili kupewa Ufalme.
Kwangu hili sio issue sana kwa sababu hata mimi nilishangazwa Afande Sele kuwa zaidi ya Prof. Jay na Solo Thang. Afande hakuwa anawazidi chochote Jay na Solo. Lakini nikaamini wakati mwingine kuna mazali; Afande alipata Zali la Mentali
Kilichonistua ni Solo kudai kwamba Afande alipangwa na kina Eric Shigongo. Solo anamlaumu Afande kwamba alisaliti game kwa kukubali kutengenezwa King wa uongo bali ya ushindi wa kweli
Ukweli ni upi? Anayejua huu ukweli atumulikie
Mashindano yaliandaliwa na Erick Shigongo, acha hizo.Kwanza ujue yale mashindano yaliandaliwa na sugu,na kwa kipindi icho sugu alikuwa mwanae sana sele kwaiyo Alifanya kumpa,ila tukiludi kwa ukali sele ni mkali wa vina ila,kwenye radha ya matamshi solo yuko poa sana
Kali sana ileMkuu ile ngoma ya Solo Thang na Prof Jay Mtazamo haujawai kuchujaa..
Waambie hao hiphop headMashindano yaliandaliwa na Erick Shigongo, acha hizo.
Jamaa anadiss hata baada ya miaka 22 kupitA, Anajichoresha. Alikuwa na wimbo gan wa kuuzidi wimbo wa Mtazamo!?Huyu solo mambo ya miaka kibao bado anataka kuyarudisha,kama ana kinyongo
Ova
Solo namkubali kiasi chake, lakini ukifuatilia sana ngoma zake, utaona ni mtu mjivuni alafu ana lugha ya matusi japo anatumia tafsida.Huyu solo mambo ya miaka kibao bado anataka kuyarudisha,kama ana kinyongo
Ova
Darubini kaliJamaa anadiss hata baada ya miaka 22 kupitA, Anajichoresha. Alikuwa na wimbo gan wa kuuzidi wimbo wa Mtazamo!?