Solo ana vina ni muandishi mzuri,ila kwa wakati ule mziki,message sele alikuwa juuSolo namkubali kiasi chake, lakini ukifuatilia sana ngoma zake, utaona ni mtu mjivuni alafu ana lugha ya matusi japo anatumia tafsida.
"vidato sita nilivopitia ndo vinavonisaidia hata kama wakinibania"
"Kuna kupara miwa na kupara samaki'
"Huku Mombasa ukiwa punga watu wanatwanga"
"Dume zima shanga kiunoni"-
"Kama inabana leta tuitanue"
"Tamaa ikizidi sana watu watakupakata"
Hiyo ni baadhi ya mistari katika nyimbo zake. Japo nikimsikiliza kwenye "Homa ya dunia" naona ilikuwa na ujumbe kwa hadhira.
Lakini Sele nyimbo zake hazina lugha chafu. Yaani zina ujumbe mzuri.
Sisemi Sele ni mkali kuliko Solo.
Acha uongo wewe, mashindano aliandaa shigongo.Kwanza ujue yale mashindano yaliandaliwa na sugu,na kwa kipindi icho sugu alikuwa mwanae sana sele kwaiyo Alifanya kumpa,ila tukiludi kwa ukali sele ni mkali wa vina ila,kwenye radha ya matamshi solo yuko poa sana
Kwenye mtazamo yeye mwenyewe alikuwepoJamaa anadiss hata baada ya miaka 22 kupitA, Anajichoresha. Alikuwa na wimbo gan wa kuuzidi wimbo wa Mtazamo!?
Ww mtoto wa juzi shigongo gelesha,sugu ndo mtoa zawadi ya ile gari shigongo alitumika kupromoteAcha uongo wewe, mashindano aliandaa shigongo.
Mwingine huyu hapa.Kwanza ujue yale mashindano yaliandaliwa na sugu,na kwa kipindi icho sugu alikuwa mwanae sana sele kwaiyo Alifanya kumpa,ila tukiludi kwa ukali sele ni mkali wa vina ila,kwenye radha ya matamshi solo yuko poa sana
Wewe utakuwa na shida sehemu, sugu hausiki chochote na lile shindano.Ww mtoto wa juzi shigongo gelesha,sugu ndo mtoa zawadi ya ile gari shigongo alitumika kupromote
Amejificha nyuma ya paziaHapa Fid Q alitupigia zigo Soggy lakini hata yeye msimamo wake ni huo huo
Na hapa ndipo ushindi wa Sele ulipopatikana alikuwa na haki ya kuchukua tuzo bila kujali ukubwa wa majina au umaarufu.Solo ana vina ni muandishi mzuri,ila kwa wakati ule mziki,message sele alikuwa juu
Ova
Mnazingatia nini wenzetu kuona Afande alistahili kuliko Prof. Jay?Afande sele anastahili
Alikuwa ndio wakwanza kujua kuflow na mistari yake ni yakuvutia kumsikiliza na nimshapu kutunga mistari iliyoshiba tena inaleta maana yaani hakunaga mtu aliyewahi mpita kwa ujuzi wake waaina yake .Mnazingatia nini wenzetu kuona Afande alistahili kuliko Prof. Jay?
Ni baada ya kupanga mshindi, wadau wakawa dissappointedHivi yale Mashindano kwanini yalikufa?
Kwani unadhani Afande hakustahili?Ni baada ya kupanga mshindi, madau wakawa dissappointed
Kipindi hicho cha Mfalme wa Rhymes Afande Sele ndio alikua kwenye peak ulikuwa ndio wakati wake ni km fid Q wa kipindi hicho yupo kwenye peak chagua 1 sio huyu wa sasa, kwa hio Afande Sele upepo ukapita na yeye ni sawa na 20% kuchukua tuzo zote kipindi kile upepo ukiwa upande wake maana yake kwa kipindi kile alikua kwenye peak ni upepo ulilalia upande wake si kwamba alikua mkali hivyo and by that time Afande Sele nahisi alikua na nidhamu ya hali ya juu ni alijiweka kwenye position fulani hivi ya u-father hakua km wasanii wengine kwa hio ile hali nahisi ndio iliyompa kua King of Rhymes nothing else, hio ni kwa upande wangu nakumbuka Solo, Jay na Afande Sele wakifanya wimbo wa pamoja unaoitwa Mtazamo ukijaribu kuyapitia mashairi utaelewa nani ana Rhymes kali kuliko mwenzieUkweli ni upi? Anayejua huu ukweli atumulikie