Anayejua ukweli wa madai ya Solo Thang kwa Afande Sele, atuambie

Kuelekea October 29 mtawekwa busy kwa kila ujinga
 
sasa kwanini utuache njia panda sema nani mkali
 
Mtu na pesa
Dunia Ina mambo
 
Sele ni mtu mwingine, acha na ngoma alizo record,ukimpata kwenye One on One ni Levels nyingine
 
Kilio changu unaijua

Sasa kilio changu ndiyo uifananishe na ngoma ipi ya sele?! Yaani nikuwekee kilio changu na mkuki moyoni utaenda na mkuki moyoni?! Sasa weka top 10 ngoma za Solo nitaweka 10 ngoma za sele ili tuelewane
 
Catalogue ya Solo hii hapa kaka

1. Simu Yangu Ft Soggy na Jay more
2. Kilio changu ft q chief
3. Homa ya Dunia
4. Solo na Mpenzi
5. Si rizikii
6. Tafadhali Ft Nguza viking
7. Vina Utata
 
Solo Hana hit song hata moja zaidi ya verse yake kwenye Mtazamo. Without Mtazamo, Solo is nothing
 
Hivi mtu na pesa sijui mtu pesa ile ilikuwa album yake ya ngapi ya afande sele? Nadhani kuna mayowe og mle acha ile remix alikuja kutoa baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…