Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Nimefurahi Sana mara baada ya kuona Leo umeweka propaganda za uchama pembeni na kusimamia ukweli Kwa kile unachokiamini.Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Sijui Sirro ataficha wapi uso wake??