Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Lakini pia maswali ya mawakili yana mitego sana,anakuuliza vitu we unaona maswali marahisi kumbe unaenda kujifunga huko mbele
Kwa cheo chake criminal evidence isingemsumbua alipanda vyeo ki magumashi
 
Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
Yaani ni mweipe kuliko hata weupe wenyewe.
 
Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Mungu ni mwema ,siamini unachoandika ni wewe kweli.Umepata akili???Roho mtakatifu amekubadilisha ???Umeamua kutumia Elimu yako??Umeamua kuachana na CCM?? Serious umenifurahisha sana
 
Kapigwa mawe na Kibatala hadi kaomba maji ya kunywa kudadeki !
Mapolisi wa hii nchi bwana

Hii nchi inamakomandoo wa aina mbili

1-makomando kutoka Tanzania
2_kutoka JWTz ,wanaotoka hapa niwale waliostafu na wanaotoka Tanzania niwale ambao hawajastafu

nimechekaaaaa sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa

USSR
Mkuu hamjuani ??Huyo ni CCM mwenzako kaamua kuokoka ,ameamua kuachana na umaskini ameamua kutumia Elimu yake ya uzamili kutafuta hela siyo kulamba miguu watu ndiyo apate pesa
 
Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Vyeti vya fu foji.
 
Siyo Sirro ni wote wanaokomaa kusikiliza kuwa ohh waislamu hawapewi vyeo majeshini vikubwa haya matokeo hayo sasa mtu anapewa mivyeo mikubwa elimu na weledi zero ale tu mishahara na miposho ya jeshi
Unatatizo na Uislam na Waislam Bro

Bora simama ktk lengo lako....mengine yawache
 
Ni Kama vile watu wamechoka kuangalia Isidingo na serikali imeamua kutuleta tamthilia yake na Maafande chenga chenga... sasa subirini siku Kamanda Siro akiwekwa mtu kati uone atavyogombaniwa kama mpira wa kona... siku hiyo bundle zitawaishiwa watu kwa kuangalia tu online live huko mahakamani toka Jamuhuri ya twitter.
... watazima mitandao yote siku hiyo.
 
Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
kichwa cheupe unakijuaje wewe karimati??
 
Back
Top Bottom