mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
inabidi useme kwa dalili hizo mbowe ana uhakika upi wa kushinda kesi.Umesikia alichongea mahakamani senior officer kama yeye?
Hakupitia hati ya mashtaka kabla kuongea kujua kilichomo ajue aongeaje3kaiweka serikali ya Mama Samia pabaya unnecessarily loo
Hivi mama Samia kamkosea nini au yeye mjahidina asiyependa wanawake kuwa maraisi wakae ndani tu?
I hate him to the maximum senior officer wa police kama yeye hakutakiwa kutoa Ushahidi hovyo kama ule.
vinginevyo bado sioni faida ya nyumbu kushangilia.