igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
I wish kwenye hilo jopo la akina Kibatala na Lissu angekuwepo aisee.Pale unapo politicise professional agency kama hii haya hutokea
Unapo politicise professionals kama hawa hua akili zinapotea wanakua mataahira,na hili limejidhibitisha
Hawa polisi wamechoka kutumiwa na serikali,waangalie tu walinyong'onyea
SIo kwamba wanafurahi wanapofanya huu upumbavu kwa niaba ya maCCM,wamechoka na itafika kipindi watawaambia maCCM,fanyeni wenyewe!