Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Ninachojua ni muislamu

Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
@FaizaFoxy na Jumbe Brown hawatakubali kabisa haya maneno ya shombo kutoka kwa kada mwenzao.
 
Jamaa kajichanganya sanaa,hadi inatafakarisha na kujiuliza what is the meaning of that?

Au ndo vitu vya kubumba huwa vile?
 
... baada ya ile kesi ya uhaini 1983 this is another landmark case in Tanzania's history. Bonge la rejea kwa vizazi vijavyo namna gani serikali inaweza kuzushia raia wake kesi hatari kama hizi! Kwa wale ambao hawaamini serikali inaweza kubambika raia wake kwa sababu mbalimbali this is a vivid example.
Usisahau
SMZ vs hamisi machano & others
 
Usisahau
SMZ vs hamisi machano & others
... Ok. Ila Zanzibar sio nchi na hivyo baadhi ya makosa hayawezi kutendeka Zanzibar like uhaini. Wala sina hakika kama nchi wanachama wa Commonwealth wanaweza kurejea maamuzi ya mahakama ya Zanzibar.
 
Kwa Hali aliyokutana mayo leo Kingai huenda atalala anaweweseka. Lakini ndo polisi wetu hao kumbuka yule wa Iringa aliyemshtaki Abdul Nondo kuwa kajiteka. Ni watu ambao wamejishusha kwa kiwango cha kutosha.
 
Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Haya ulipaswa uwaeleze wakristo wenzako wanaowateua watu ambao hawako competence
 
Ninachojua ni muislamu

Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
😁😁😁
 
Kwa Hali aliyokutana mayo leo Kingai huenda atalala anaweweseka. Lakini ndo polisi wetu hao kumbuka yule wa Iringa aliyemshtaki Abdul Nondo kuwa kajiteka. Ni watu ambao wamejishusha kwa kiwango cha kutosha.
... au Kamuhanda RPC wa Iringa enzi zile aliyewazushia Chadema kumuua Mwangosi! Isingekuwa video, dah Chadema wangepotezwa vibaya sana. Hichi chama kimevuka vigingi vingi mno; Mungu aendelee kukipigania!

In short hili jeshi limejaaa mijitu miongo miongo sana isiyoongozwa na weledi wowote!
 
Hiyo sura kwa sisi tuliopitia psychology anaonekana kabisa na mental case… he looks like mongolian idiot!!
Naona huyo atakuwa wale wapiga majungu ofisini ooh hatupandi vyeo kwa kuwa sisi waislamu tunaonewa na mfumo Kristo wakaamua Polisi wampe mivyeo lukuki sasa ona ujinga aliofanya cheo hakilingani na uwezo wake aibu !
 
Ukweli ni kwamba kesi ni ya kubambikia kama kawaida yenu ccm Mungu amewaumbua.
 
RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.

Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.

Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.

Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.

Lakini pia kesi hii ameanza kuichubguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Ni Kama vile watu wamechoka kuangalia Isidingo na serikali imeamua kutuleta tamthilia yake na Maafande chenga chenga... sasa subirini siku Kamanda Siro akiwekwa mtu kati uone atavyogombaniwa kama mpira wa kona... siku hiyo bundle zitawaishiwa watu kwa kuangalia tu online live huko mahakamani toka Jamuhuri ya twitter.
 
Back
Top Bottom