Nimefurahi Sana mara baada ya kuona Leo umeweka propaganda za uchama pembeni na kusimamia ukweli Kwa kile unachokiamini.Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Umesikia alichongea mahakamani senior officer kama yeye?We jamaa inamatatizo ya akili,udini tu
USSR
Hapo ndipo tunapaswa tusichukiane hata kidogo.Huwa tunatofautiana tu kiitikadi.😝😝😝😝Nimefurahi Sana mara baada ya kuona Leo umeweka propaganda za uchama pembeni na kusimamia ukweli Kwa kile unachokiamini.
Sijui Sirro ataficha wapi uso wake??
Kapigwa mawe na Kibatala hadi kaomba maji ya kunywa kudadeki maji
Ni mwanachama wa CCM, zaidi ya hapo hakuna.RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.
Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.
Lakini pia kesi hii ameanza kuichubguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Siyo Sirro ni wote wanaokomaa kusikiliza kuwa ohh waislamu hawapewi vyeo majeshini vikubwa haya matokeo hayo sasa mtu anapewa mivyeo mikubwa elimu na weledi zero ale tu mishahara na miposho ya jeshiNimefurahi Sana mara baada ya kuona Leo umeweka propaganda za uchama pembeni na kusimamia ukweli Kwa kile unachokiamini.
Sijui Sirro ataficha wapi uso wake??
Ha ha ha! Na huyo ndiye mpelelezi Mkuu wa hii case; what a joke! Yaani ushahidi wake ndio unategemewa kwa asilimia kubwa kumtia Mbowe hatiani! Ha ha ha! Kama mazuri vile!Umesikia alichongea mahakamani senior officer kama yeye?
Hakupitia hati ya mashtaka kabla kuongea kujua kilichomo ajue aongeaje3kaiweka serikali ya Mama Samia pabaya unnecessarily loo
Hivi mama Samia kamkosea nini au yeye mjahidina asiyependa wanawake kuwa maraisi wakae ndani tu?
I hate him to the maximum senior officer wa police kama yeye hakutakiwa kutoa Ushahidi hovyo kama ule.
Muonekano wake hauonyeshi hata kama kusoma na kuandika anajuaView attachment 1939177
Huyo ccm mwenzetu au kwa kuwa ameamua kuwa mkweli.afande kajichanganya Sana kwny uteteziKama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
... ni nani angepewa KAZI ya ku-engineer hii case asichemke? Hata Sirro, mseminari angechemka vibaya sana. Tatizo ni case za kutunga kuifurahisha CCM.Siyo Sirro ni wote wanaokomaa kusikiliza kuwa ohh waislamu hawapewi vyeo majeshini vikubwa haya matokeo hayo sana mtu anapewa mivyeo mikubwa elimu na weledi zero ale tu mishahara na miposho ya jeshi
Lakini pia maswali ya mawakili yana mitego sana, anakuuliza vitu we unaona maswali marahisi kumbe unaenda kujifunga huko mbelePolisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Bora umeamua kuwa mkweliNinachojua ni muislamu
Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
AiseeKwani CV ya Mbowe yenyewe ikoje ?Subirini dawa iwaingie. Mtu anakwenda jela maisha.