Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mnamo miaka ya 1970s , wanafunzi wa UDSM waliandamana Dar es salaam International Airport kupinga siasa za ukoloni wa Kifaransa .
Maandamano hayo yalikuwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, aliyeitembelea Tanzania kuona ni misaada gani wafaransa wanaweza kuleta na ushirikiano.
Wanafunzi wa UDSM walimwambia, FRENCH COLONIALISM GO HOME, naye Waziri huyo alijibu Serikali isipoomba msamahana, I AM GOING HOME.
Mwalimu alikataa kuomba radhi, na Waziri huyo akaamua kuondoka na misaada yake.
Anayekumbuka mwezi na mwaka tafadhali antume hiyo information hapa JF.