Anayekunyima wakati wa uchumba atakunyima hata ukimuoa

𝖪𝗐𝖺𝗆𝖻𝖺 𝗎𝗇𝗒𝗎𝗆𝖻𝖺 𝗎𝗄𝗂𝗍𝖺𝗃𝖺 𝗇𝖺 𝗉𝖾𝗌𝖺 𝗂𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗉𝖾𝗆𝖻𝖾𝗇𝗂... 𝖭𝗒𝗂𝖾 𝗐𝖺𝗇𝖺𝗐𝖺𝗄𝖾 𝖻𝖺𝗇𝖺 𝗒𝖺𝗇𝗂 𝗇𝖽𝗈 𝗎𝗄𝗎𝗍𝖺𝗇𝖾 𝗇𝖺 𝗆𝗂𝗆𝗂 𝗎𝗅𝗂𝗇𝗀𝖺𝗇𝗂𝗌𝗁𝖾 𝗁𝖾𝗅𝖺 𝗒𝖺𝗇𝗀𝗎 𝗇𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗂𝗉𝖺𝗍𝖺 𝗄𝗐𝖺 𝗃𝖺𝗌𝗁𝗈 𝗇𝖺 𝗁𝗂𝗒𝗈 𝗌𝖾𝗁𝖾𝗆 𝗒𝖺 𝗆𝗄𝗈𝗃𝗈 𝗎𝗍𝖺𝖿𝗎𝗋𝖺𝗁𝗂
 
upo sahihi kabisa mtoa mada hii imenitokea.atakunyima K kwa kizingizio amechoka huko wenzako wanambandua tu tena anawapigia simu.amemis show.wanawake wa sasa sio wale wa zama zile
 
Acha kupotosha watu. Ndio maana ndoa nyingi haziishi migogoro kwa sababu watu kipindi cha urafiki anataka muishi kama ndoa.

Akupe unyumba wewe ni mume wake. Vijana mi nawashauri pitieni vipindi vitatu kabla hujaingia kwenye ndoa yaani Urafiki, Uchumba na ndoa. Oa au Olewa na rafiki yako jengeni urafiki kabla hamjaingia kwenye uchumba.

Haya mambo mnadanganyana kufanya sex kabla ya ndoa mnakaribisha shetani kwenye ndoa migogo kibao. Sex ni tendo la kiroho ni agano unaweka agano na X unaolewa na Y

Issue ya ndoa ni very sensitive ili kupata mtu sahihi mtangulize Mungu. Vinginevyo mtakataa ndoa wakati ndoa ni baraka.
Asubiri ndoa ili aoe bomu.
 
Hatujakataaa je ana bikra? Kama anayo sawa kama hana hana kigezo lazima utelezi uliwe,mwanamke analeta siasa za ivo namuuliza bikra unayo hana napiga chini mi sio mlokole kiasi icho
 
Wengi wa hivyo wanakuaga na wanaume zaidi ya kumi. Sasa ktk hao kumi anampenda mmoja kwa dhati ya moyo wake lkn labda hana pesa.

Sasa pesa anachukua kwako in the name of mchumba halafu anaenda kumhonga ampendaye huku wewe ukisubirishwa kwa kuahidiwa ndoa new.
 
Acha kupotosha watu. Ndio maana ndoa nyingi haziishi migogoro kwa sababu watu kipindi cha urafiki anataka muishi kama ndoa.

Akupe unyumba wewe ni mume wake. Vijana mi nawashauri pitieni vipindi vitatu kabla hujaingia kwenye ndoa yaani Urafiki, Uchumba na ndoa. Oa au Olewa na rafiki yako jengeni urafiki kabla hamjaingia kwenye uchumba.

Haya mambo mnadanganyana kufanya sex kabla ya ndoa mnakaribisha shetani kwenye ndoa migogo kibao. Sex ni tendo la kiroho ni agano unaweka agano na X unaolewa na Y

Issue ya ndoa ni very sensitive ili kupata mtu sahihi mtangulize Mungu. Vinginevyo mtakataa ndoa wakati ndoa ni baraka.
Bila shaka umepitwa na wakati.
Waache wafanye Yao ikiwezekana waoane wakiwa tayari Wana mtoto/watoto. Hii ni nzuri zaidi
 
𝖪𝗐𝖺𝗆𝖻𝖺 𝗎𝗇𝗒𝗎𝗆𝖻𝖺 𝗎𝗄𝗂𝗍𝖺𝗃𝖺 𝗇𝖺 𝗉𝖾𝗌𝖺 𝗂𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗉𝖾𝗆𝖻𝖾𝗇𝗂... 𝖭𝗒𝗂𝖾 𝗐𝖺𝗇𝖺𝗐𝖺𝗄𝖾 𝖻𝖺𝗇𝖺 𝗒𝖺𝗇𝗂 𝗇𝖽𝗈 𝗎𝗄𝗎𝗍𝖺𝗇𝖾 𝗇𝖺 𝗆𝗂𝗆𝗂 𝗎𝗅𝗂𝗇𝗀𝖺𝗇𝗂𝗌𝗁𝖾 𝗁𝖾𝗅𝖺 𝗒𝖺𝗇𝗀𝗎 𝗇𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗂𝗉𝖺𝗍𝖺 𝗄𝗐𝖺 𝗃𝖺𝗌𝗁𝗈 𝗇𝖺 𝗁𝗂𝗒𝗈 𝗌𝖾𝗁𝖾𝗆 𝗒𝖺 𝗆𝗄𝗈𝗃𝗈 𝗎𝗍𝖺𝖿𝗎𝗋𝖺𝗁𝗂
Noma Sana umetisha.
 
Acha kupotosha watu. Ndio maana ndoa nyingi haziishi migogoro kwa sababu watu kipindi cha urafiki anataka muishi kama ndoa.

Akupe unyumba wewe ni mume wake. Vijana mi nawashauri pitieni vipindi vitatu kabla hujaingia kwenye ndoa yaani Urafiki, Uchumba na ndoa. Oa au Olewa na rafiki yako jengeni urafiki kabla hamjaingia kwenye uchumba.

Haya mambo mnadanganyana kufanya sex kabla ya ndoa mnakaribisha shetani kwenye ndoa migogo kibao. Sex ni tendo la kiroho ni agano unaweka agano na X unaolewa na Y

Issue ya ndoa ni very sensitive ili kupata mtu sahihi mtangulize Mungu. Vinginevyo mtakataa ndoa wakati ndoa ni baraka.
Umeongea point sana lakin ndio hivyo vijana wa kileo hawajui hata hilo lengo la ndoa yani huyo mchumba wa kike na wa kiume wote ni vilaza unadhani watakuelewa maneno haya yaliyo jaa busara.

Vijana wa sasa kwao ni kawaida kuishi maisha yasiyo na muongozo wala muelekeo wanaishi watakavyo.

Dini wanasema ni mila za wamashariki ya kati na wamagharibi

Lakini ajabu hata hizo mila zao za kiafrika hawazijui na ni wote wakike na wakiume.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kitu muhimu kinachomfanya Binti aringe na awe na thamani ni 'Bikra'.

Kama nikikutana na msichana bikra na nina malengo naye, lazima nimuheshimu hadi tuingie kwenye ndoa ila akae akijua siku nisipoikuta bikra nitavunja ndoa hata kama ni 2 days after ndoa.

Kama uko kwenye uchumba na bikra, uhakika wa kutochapiwa upo lakini ukishaitoa bikra wakati hamjaingia kwenye ndoa, hapo umefungulia njia wahuni na yeye hatokuwa na hofu kwa sababu njia rahisi ya wewe kugundua umeibreak.

Sasa kuna mabinti wanakaza wakati bikra hawana, wengine washazalishwa majumbani huko. Unakuta anakupa masharti. Hakupi hadi mfunge ndoa! 😁
Sasa unajiuliza, alikuwa wapi kukaza toka mwanzo au ndo demu hajielewi!?
 
Sasa kuna mabinti wanakaza wakati bikra hawana, wengine washazalishwa majumbani huko. Unakuta anakupa masharti. Hakupi hadi mfunge ndoa! [emoji16]
Sasa unajiuliza, alikuwa wapi kukaza toka mwanzo au ndo demu hajielewi!?
Ndio maana watu wanafunga ndoa hata sale mlizoshona kwenye harusi hazija chakaa ndoa imevunjika.
 
Kiukweli ni changamoto. Ndoa zinavunjika kwa sababu ya mtu alichokitarajia, au alichodhania atakikuta anaona hakipo.

Kingine ni usaliti. Huu ndio msingi mkuu wa ndoa kuvunjika.

Kuoa/Kuolewa kwa mhemuko nako kunachangia pia.
Unaingia kwenye ndoa kwa sababu hauna njinsi. Hii itafanya ukawe mtumwa!

Hatuna budi kumuomba Mungu katika hili, Mungu atupe watu sahihi kwenye safari ya maisha. Na hii ndio njia sahihi ambayo binafsi nimejionea kwa macho yangu! 😇
 
Sasa kuna mabinti wanakaza wakati bikra hawana, wengine washazalishwa majumbani huko. Unakuta anakupa masharti. Hakupi hadi mfunge ndoa! 😁
Sasa unajiuliza, alikuwa wapi kukaza toka mwanzo au ndo demu hajielewi!?
Yaani anakufanya wewe ndiyo sehemu ya ku-practice maadili wakati alishaga yavunja kitambo. Uhuni huu.
 
Back
Top Bottom