De Opera
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 780
- 1,664
Ni mhaho mkuu! 😁Yaani anakufanya wewe ndiyo sehemu ya ku-practice maadili wakati alishaga yavunja kitambo. Uhuni huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mhaho mkuu! 😁Yaani anakufanya wewe ndiyo sehemu ya ku-practice maadili wakati alishaga yavunja kitambo. Uhuni huu.
Sisi ni mama za watu unataka umfunue mama wa mtu ugundue nini!!.
Sasa kuna mabinti wanakaza wakati bikra hawana, wengine washazalishwa majumbani huko. Unakuta anakupa masharti. Hakupi hadi mfunge ndoa! 😁
Sasa unajiuliza, alikuwa wapi kukaza toka mwanzo au ndo demu hajielewi!?
Justify! Mama yangu unamjua?Sisi ni mama za watu unataka umfunue mama wa mtu ugundue nini!!
Mama yako alifunuliwa na wangapi baada ya kukuzaa that unaona ni kawaiiiida kufunuliwa na mama za watu!!
Tangu umeanza kufunua nguo za wasichana wa watu, umefunua ngapi na kwanini hukuwaoa?
Na unataka kuendelea kufunua wangapi?
Ambaye hajitambui hasa hapa ni nani??
Papuchi zetu tunazilisha vizuri,
tunazisafisha vizuri,
zinanawiri na ni tamu KWERI KWERI,
tunawatunzia FUNZA tukifa wazifaidi wale wanenepe waipe ardhi rutuba watoto na wajukuu zetu wapande mazao yanawiri wale!
Nyie endeleeni na chaputa na kununua punani za jumuiya, za kwetu hamzigusi ng'oooo mtaishia kuzianzishia mada tu
Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa.
Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na hizo.
Kazi kwako. Endelea kulea uzembe huku ukijifariji kuwa utaisha mkiingia kwenye ndoa.
Hiyo kweli mkuuHiyo Ni Kwel?