Anayekunyima wakati wa uchumba atakunyima hata ukimuoa

.

Sasa kuna mabinti wanakaza wakati bikra hawana, wengine washazalishwa majumbani huko. Unakuta anakupa masharti. Hakupi hadi mfunge ndoa! 😁
Sasa unajiuliza, alikuwa wapi kukaza toka mwanzo au ndo demu hajielewi!?
Sisi ni mama za watu unataka umfunue mama wa mtu ugundue nini!!

Mama yako alifunuliwa na wangapi baada ya kukuzaa that unaona ni kawaiiiida kufunuliwa na mama za watu!!

Tangu umeanza kufunua nguo za wasichana wa watu, umefunua ngapi na kwanini hukuwaoa?

Na unataka kuendelea kufunua wangapi?

Ambaye hajitambui hasa hapa ni nani??

Papuchi zetu tunazilisha vizuri,
tunazisafisha vizuri,
zinanawiri na ni tamu KWERI KWERI,
tunawatunzia FUNZA tukifa wazifaidi wale wanenepe waipe ardhi rutuba watoto na wajukuu zetu wapande mazao yanawiri wale!

Nyie endeleeni na chaputa na kununua punani za jumuiya, za kwetu hamzigusi ng'oooo mtaishia kuzianzishia mada tu
 
Justify! Mama yangu unamjua?
Acha povu na maneno ya kushindwa.
Mimi nimezingumza kitu ambacho kipo, kwani uongo basi?

Pole, lakini binti/mwanamke mwenye hofu lazima ajutie na kamwe asingeweza kujibu hata hiyo komenti yangu.

We ni jasiri na unaonekana tayari unaishi ndani ya komenti yangu.

Wafundishe wasichana wenzio wasije kuanguka kama hivo.

Lakini usikate tamaa, muombe Mungu atakuletea mtu atakayekustahili haijalishi uko πŸ‘†
 

Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…