Anayemjua huyu jamaa; kachomwa kisu muda huu Buguruni hapa

Anayemjua huyu jamaa; kachomwa kisu muda huu Buguruni hapa

Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni.
Anayemjua aje amchukue
 
Maisha haya aisee !!! 😂.
Yaan yale maji maji yenye vimafuta na ngano ndio zikafanye mtu apogwe beto!?
 
Shida ya mapolisi wetu ni hawaaniki raia wanaogopa unaweza ukambeba kwenda nae polisi ukafika ukawekwa ndani wewe mtoa msaada ukangushiwa jumba bovu
Huu ndiyo ukweli.
Utajikuta kwenye matatizo ambayo siyo ya lazima.
 
Maisha haya aisee !!! 😂.
Yaan yale maji maji yenye vimafuta na ngano ndio zikafanye mtu apogwe beto!?
Aisee
Hayo maji na tu mafuta yanasomesha watoto wake shule waje kumvusha siku za usoni
Hata ingekuwa mimi nampelekea mtu mtandao wa shingo au tumboni akafe mbele
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama kuishi kinyonge......
 
Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni.
Anayemjua aje amchukue

View attachment 3191873
Uko mahili kwenye kupiga picha ya muvi, lakini akili zako za panzi. Ndugu yake yuko Bunju, afungue JF asome hii Post kisha akapande daladala mbili mpaka Buguruni Sheli akukute wewe mwenye akili za panzi bado uko naye unpiga picha!
 
Pelekeni taarifa polisi ili jamaa apate msaada wa haraka wa PF3 apate matibabu ya haraka maana bila hiyo hatibiwi
Nchi ya kipumbavu sana. Mtu anapigania maisha yake, mpaka aende polisi apate pf3 ndio aende hospitali, huo muda wote unaopotezwa lazima ufe tu
 
Aisee
Hayo maji na tu mafuta yanasomesha watoto wake shule waje kumvusha siku za usoni
Hata ingekuwa mimi nampelekea mtu mtandao wa shingo au tumboni akafe mbele
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama kuishi kinyonge......
Ni kweli ila Asa hapo ame solve nini zaid ya kujiongezea matatizo????.
Kutokua violent haimaanishi wewe ni mnyonge mzee.
 
Back
Top Bottom