MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 791
- 1,120
Mwaka umechanganyikiwa mapema sana.Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni.
Anayemjua aje amchukue
View attachment 3191873
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka umechanganyikiwa mapema sana.Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni.
Anayemjua aje amchukue
View attachment 3191873
Watu wamevurugwa sana du.Majuzi tarehe 1 pia kuna mtu Ilala sokoni alichomwa kisu kisa kudaiwa buku. Akakata moto papo hapo watu wakishangaa na kuogopa.
Chanzo kikubwa hapo ni umaskini,umaskini hudumaza akili hata kwa mtu mwenye elimu.Elimu elimu, elimu, elimu, ni muhimu kwa jamii yetu, hapo akili waliyopata ni kuchukua video badala ya kuwahi kituo cha polisi apate pf3 wamuwahishe amana
Vyote vipo karibu yenu hapo, amana ni chap tu apo na polisi ni ng'ambo hapo.Bila pf3 hospital unaendaje mkuu
Mwana mama alihamaki sana na huenda mpaka sasa anajutia alichofanya.Chanzo kikubwa hapo ni umaskini,umaskini hudumaza akili hata kwa mtu mwenye elimu.
Huyo mama aliyemchoma kisu mtu baada ya kumwagiwa biashara yake inaonekana alihamaki akiwaza biashara imeharibika kesho watoto wake watakula nini na je atapata wapi mtaji mwingine maana mitaani watu wanapata mitaji kwa masimango sana.
Na hao waliomzunguka majeruhi kutokana na umaskini wana mentality kwamba wakimpeleka hospitali watadaiwa pesa plus nauli ya bajaji ambayo haizidi hata elfu 3 kwa hiyo wanabaki kutegeana na kujifanya wanatoa huduma ya kwanza.
Ila simtetei aliyemchoma mwenzake kisu na kuhatarisha maisha yake kwa sababu ya supu,bado atabaki kuwa mtuhumiwa.
Alikua anajaribu kama sufuria sio zito...Kwa nini kamwaga supu??
Jamaa yupo eneo la tukio anatuambia sisi tumfate, hii noma sana 😁Muwahisheni hospitalini kwanza, kisha cameras baadae..
What would have happened if the Titanic was to capsize during smartphone era??
Sad..
Mkuu na wananchi walibaki wanachukua picha na Aliye Mchoma kisu mko naye mnashangaa wote🤔??Mwana mama alihamaki sana na huenda mpaka sasa anajutia alichofanya.
Mtaani watu wana maisha magumu sana mkuu hata kutoa 2,000 ya bajaji katika hao watu 100 anaweza akajitolea mmjo tu au asipatikane kabisa.
Na huenda huyo mama vikoba na kausha damu vinamsumbua, kwahiyo aliwaza itakuwaje kesho watu wa wa rejesho wakija? Akaamua kuchukua maamuzi hayo ambayo bila shaka anayajutia
Yeah hiyo ni lazima kuna mahali ana madeni hapo anawaza wakija watu wa vikoba atawaeleza nini ndio taswira ya kwanza iliyomjia kichwani so kilichofuata hapo akamuona huyo mpita njia kama mchawi aliyetumwa aje kumharibia biashara yake,mtaani ni kugumu aiseeMwana mama alihamaki sana na huenda mpaka sasa anajutia alichofanya.
Mtaani watu wana maisha magumu sana mkuu hata kutoa 2,000 ya bajaji katika hao watu 100 anaweza akajitolea mmjo tu au asipatikane kabisa.
Na huenda huyo mama vikoba na kausha damu vinamsumbua, kwahiyo aliwaza itakuwaje kesho watu wa wa rejesho wakija? Akaamua kuchukua maamuzi hayo ambayo bila shaka anayajutia
Usiache kutupa mrejeshoJioni nitaenda pale nione inaendeleaje inshu
Katakua ka kutoka kigoma hakoMama kauzu sana yule, yaani jinsi alivyokuwa anaongea tena kwa kujiamini kabisa.
Ni kamama kafupi hivi tena umri wake umeenda, hakawezi kuwa mpenzi wangu
Kwel mkuu.umasikini n mbaya sanaChanzo kikubwa hapo ni umaskini,umaskini hudumaza akili hata kwa mtu mwenye elimu.