Anayemjua huyu jamaa; kachomwa kisu muda huu Buguruni hapa

Elimu elimu, elimu, elimu, ni muhimu kwa jamii yetu, hapo akili waliyopata ni kuchukua video badala ya kuwahi kituo cha polisi apate pf3 wamuwahishe amana
Chanzo kikubwa hapo ni umaskini,umaskini hudumaza akili hata kwa mtu mwenye elimu.
Huyo mama aliyemchoma kisu mtu baada ya kumwagiwa biashara yake inaonekana alihamaki akiwaza biashara imeharibika kesho watoto wake watakula nini na je atapata wapi mtaji mwingine maana mitaani watu wanapata mitaji kwa masimango sana.
Na hao waliomzunguka majeruhi kutokana na umaskini wana mentality kwamba wakimpeleka hospitali watadaiwa pesa plus nauli ya bajaji ambayo haizidi hata elfu 3 kwa hiyo wanabaki kutegeana na kujifanya wanatoa huduma ya kwanza.
Ila simtetei aliyemchoma mwenzake kisu na kuhatarisha maisha yake kwa sababu ya supu,bado atabaki kuwa mtuhumiwa.
 
Mwana mama alihamaki sana na huenda mpaka sasa anajutia alichofanya.
Mtaani watu wana maisha magumu sana mkuu hata kutoa 2,000 ya bajaji katika hao watu 100 anaweza akajitolea mmjo tu au asipatikane kabisa.
Na huenda huyo mama vikoba na kausha damu vinamsumbua, kwahiyo aliwaza itakuwaje kesho watu wa wa rejesho wakija? Akaamua kuchukua maamuzi hayo ambayo bila shaka anayajutia
 
Mkuu na wananchi walibaki wanachukua picha na Aliye Mchoma kisu mko naye mnashangaa wote🤔??
 
Mwana mama alihamaki sana na huenda mpaka sasa anajutia alichofanya.
Mtaani watu wana maisha magumu sana mkuu hata kutoa 2,000 ya bajaji katika hao watu 100 anaweza akajitolea mmjo tu au asipatikane kabisa.
Na huenda huyo mama vikoba na kausha damu vinamsumbua, kwahiyo aliwaza itakuwaje kesho watu wa wa rejesho wakija? Akaamua kuchukua maamuzi hayo ambayo bila shaka anayajutia
Yeah hiyo ni lazima kuna mahali ana madeni hapo anawaza wakija watu wa vikoba atawaeleza nini ndio taswira ya kwanza iliyomjia kichwani so kilichofuata hapo akamuona huyo mpita njia kama mchawi aliyetumwa aje kumharibia biashara yake,mtaani ni kugumu aisee
 
Mama kauzu sana yule, yaani jinsi alivyokuwa anaongea tena kwa kujiamini kabisa.

Ni kamama kafupi hivi tena umri wake umeenda, hakawezi kuwa mpenzi wangu
Katakua ka kutoka kigoma hako
 
Chanzo kikubwa hapo ni umaskini,umaskini hudumaza akili hata kwa mtu mwenye elimu.
Huyo mama aliyemchoma kisu mtu baada ya kumwagiwa biashara yake inaonekana alihamaki akiwaza biashara imeharibika kesho watoto wake watakula nini na je atapata wapi mtaji mwingine maana mitaani watu wanapata mitaji kwa masimango sana.
Na hao waliomzunguka majeruhi kutokana na umaskini wana mentality kwamba wakimpeleka hospitali watadaiwa pesa plus nauli ya bajaji ambayo haizidi hata elfu 3 kwa hiyo wanabaki kutegeana na kujifanya wanatoa huduma ya kwanza.
Ila simtetei aliyemchoma mwenzake kisu na kuhatarisha maisha yake kwa sababu ya supu,bado atabaki kuwa mtuhumiwa.
Kwel mkuu.umasikini n mbaya sana
 
Back
Top Bottom