Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Shida ya mapolisi wetu ni hawaaniki raia wanaogopa unaweza ukambeba kwenda nae polisi ukafika ukawekwa ndani wewe mtoa msaada ukangushiwa jumba bovuElimu elimu, elimu, elimu, ni muhimu kwa jamii yetu, hapo akili waliyopata ni kuchukua video badala ya kuwahi kituo cha polisi apate pf3 wamuwahishe amana
Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni.
Anayemjua aje amchukue
Muwahisheni hospitalini kwanza, kisha cameras baadae..
What would have happen if the Titanic was to capsize during smartphone era??
Sad..
See that..Lots of interesting YouTube videos.
AiseeMaisha haya aisee !!! 😂.
Yaan yale maji maji yenye vimafuta na ngano ndio zikafanye mtu apogwe beto!?
Uko mahili kwenye kupiga picha ya muvi, lakini akili zako za panzi. Ndugu yake yuko Bunju, afungue JF asome hii Post kisha akapande daladala mbili mpaka Buguruni Sheli akukute wewe mwenye akili za panzi bado uko naye unpiga picha!Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni.
Anayemjua aje amchukue
View attachment 3191873
UMASKINI/ UFUKARA...Buguruni ni karibu na Amana, awaishwe!, mama katili sana huyu na kavurugwa mbaya Sana.
Nchi ya kipumbavu sana. Mtu anapigania maisha yake, mpaka aende polisi apate pf3 ndio aende hospitali, huo muda wote unaopotezwa lazima ufe tuPelekeni taarifa polisi ili jamaa apate msaada wa haraka wa PF3 apate matibabu ya haraka maana bila hiyo hatibiwi
Ni kweli ila Asa hapo ame solve nini zaid ya kujiongezea matatizo????.Aisee
Hayo maji na tu mafuta yanasomesha watoto wake shule waje kumvusha siku za usoni
Hata ingekuwa mimi nampelekea mtu mtandao wa shingo au tumboni akafe mbele
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama kuishi kinyonge......