Anayemtuma au kumtumia Wilbroad Slaa kuichafua CHADEMA hatafanikiwa

Ni rahisi kujifunika na hoja kuwa Dr Slaa katumwa, kuliko kuangalia kwa makini kinachong'aa ni dhahabu kweli au feki?
 
Padri mpiga nyeto
 
Siri Gani? Msiropoke tu
 
Usaliti ukianza huwa hauishi, kasaliti kanisa, kamsaliti mke wake, kasaliti chama na sasa anajisaliti mwenyewe
 
acheni kumchafua mzee wa watu.mzee kahela ka ubalozi kanaisha sasa afanyaje.hata ungekuwa wewe.ni mwendo wa kutafuta chanel.
 
Tulisema tunataka uhuru wa kutoa mawazo kwa kila mtu mradi havunji sheria, sasa hayo ndiyo mawazo tunayoyapigania hata kwenye katiba mpya tunayoitaka. Wacha mvua inyeshe tujue panapovuja!
 
MaCHADEMA mnaumbuka pole pole. Tuliwaambia MaCHADEMA yanauana na kutekana acha uzinzi uliowajaa.
Majuzi Mange kapost Salum Mwalimu na Matiko mpaka wamezaa.
 
MaCHADEMA mnaumbuka pole pole. Tuliwaambia MaCHADEMA yanauana na kutekana acha uzinzi uliowajaa.
Majuzi Mange kapost Salum Mwalimu na Matiko mpaka wamezaa.
Ni Mpuuzi tu kama wewe atakayeongea ujinga kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…