Anayemtuma au kumtumia Wilbroad Slaa kuichafua CHADEMA hatafanikiwa

Mzee kachanganyikiwa sn
 
Huyu mzee tangu ile press yake ya kusema kumkaribisha EL CDM ilikuwa ni sawa na kuleta choo sebureni - nilimwona wa HOVYO kabisa.
 
kuna nyepesi kwamba mshumbushi anataka kumpiga chini kama hatafuti hela, na diyo maana babu anahaha uwanja mzima kuzisaka.
Huyu mbabu padiri slaa anateseka sana kwa kweli ni wa kuhurumia tu.
 
Kinacho shangaza hicho Chama ambacho bado kusajiliwa kinaaza kujionyesha ni Cha ukanda Fulani na ni Kwa ajili ya Fulani?
 
Kwa hiyo nasisi mamilioni tunaoisema CCM tutakuwa tumetumwa...?..

Nafikiri la msingi ni kupambana naye kwa fact maana ametumia demokrasia kujibu swali kama alivyoulizwa...
 
Kinacho shangaza hicho Chama ambacho bado kusajiliwa kinaaza kujionyesha ni Cha ukanda Fulani na ni Kwa ajili ya Fulani?

Hata chadema kuna wakati kinatuhumiwa cha watu wa Kaskazini lakini hakuna uthibitisho, vivyo hivyo hakuna uthibitisho wa Umoja part kuwa cha kikabila....
 
Hata chadema kuna wakati kinatuhumiwa cha watu wa Kaskazini lakini hakuna uthibitisho, vivyo hivyo hakuna uthibitisho wa Umoja part kuwa cha kikabila....
Tuletee picha za waanzilishi tunaweza kupata picha
 
Jambo la msingi hapa ni je alichokisema kina ukweli au la??
 
Anajishau, enzi zilizopo hazihusudu kuchafuana, zinahusudu maridhiano.
 
MaCHADEMA mnaumbuka pole pole. Tuliwaambia MaCHADEMA yanauana na kutekana acha uzinzi uliowajaa.
Majuzi Mange kapost Salum Mwalimu na Matiko mpaka wamezaa.

Kwahiyo mama Annne Kilango Malecela kuzaa na mzee Malecela ilikuwa ni dalili ya ufuska huko ccm?
 
ANAHANGAIKA KUREJEA KTK USHWAWISHI LAKINI HAFIKII LEVEL ZILE.HERI ATULIYE ATABAKI NA HESHIMA.AKUMBUKE ALIPIGA MASHAMBULIZI MAKUBWA SANA WAKATI WA KAMPENI ALIPOTOKA,PIA AKAZINDUWA KITABU LAKINI VYOTE HAVIKUYUMBISHA KITU SEMBUSE YA LEO HAYA.
 
Dr.Slaa alishindwa 2015 na tukaishia kuzoa Kata zote wilayani kwake ndio ataweza sahivi ambapo ameshakaa nje ya siasa miaka 7?

By the way, CHADEMA haina comparison kwa vyama vya upinzani. Unadhani Umoja party kitaweza kitu? Kina Membe na Lowassa siasa za upinzani ziliwashinda unadhani ndio kina Bashiru wataweza himili kufilisiwa na kuswekwa rumande Kila siku?

Chama Cha upinzani sio lelemama kama mnavyodhani otherwise ACT ingekua main opposition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…