Anayemtuma au kumtumia Wilbroad Slaa kuichafua CHADEMA hatafanikiwa

Kuna possibility kuwa huyo redbriged alitumiwa na kitengo cha wasiojulikana,keep in mind pesa sabuni ya roho alitakiwa afafanue je waliokuwa nao ni wasiojulikana au ni chadema.......
 
Huyu Mzee siku hizi namdharau tu, wakati ilikuwa namuheshimu sana na kushangazwa na wanaompopoa mitandaoni. Kumbe watu wako sahihi kumvunjia heshima zake
 

Hajatumwa. Anatumia hali yake. Kama Lissu. Lema. Bishop Gwajima. Shida yako wewe neno „Demokrasia „ uhuru wa kuongea Ni applicable Kwa CHadema tu. Kipi Hapo kadanganya. Kwanini unapenda kutangaza CHadema as if Hakuna binadamu Kuna malaika. Stop that and Start living.

CHADEMA. Demokrasia and Maendeleo . Huko ndani Kuna nini? Mnataka kutuambia Hakunaga madhaifu. Basi hiko sio chama cha Siasa. Ni Jehovas.
 

Tulia. Kwani Lissu na Mbowe Vijana. Kwa lugha chafu hivi then unajiita CHadema. Demokrasia na Maendeleo. Unaelewa kweli hata maana ya hayo maneno. Dr Slaa. Ni mkweli. Muwazi na Jembe kuliko Lissu. Mbowe na Lema. Keep that in your stupid mind.
 

CHADEMA. DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Semeni. Ndo uhuru. Madikteta wakubwa nyie. Afu utaona wanaomba katiba mpya. Mko hovyo sana. Yani Ukweli kwenu Ni sumu. Aina ya wanachama wa DEMOKRASIA ni watu wa ajabu sana.
 

Zero kabisa. Chama cha Siasa siku Zote Ni maslahi ya Taifa. Stupid argument.
 
Umenielewa kweli?
 
Huyu Mzee siku hizi namdharau tu, wakati ilikuwa namuheshimu sana na kushangazwa na wanaompopoa mitandaoni. Kumbe watu wako sahihi kumvunjia heshima zake
Uzee wake wa kipuuzi
 
mamluki mjaa laana
 
Anatafuta apewe nafasi kwenye Serikali ya Awamu ya Sita.

Mama yetu hapendi makandokando na naamini kamwe hawezi kumpa cheo chochote.
Nafasi yenyewe ndio hiyo kaishapewa, Msiba mwingine huyo, usidhani unabwabwaja bure hapo.
 
Dr Slaa ajibiwe kwa hoja na staha, yeye hakutukana mtu, amejibu swali kulingana na anavyofikiri .. yuko huru kuongea hajamtukana mtu na anatumia demokrasia yake ya kutoa maoni..

Tunapohubiri demokrasia tusinyoshee wengine tujiangalia na sisi, Je tunaweza kuiishi demokrasia, tunaifuata sisi wenyewe demokrasia, katiba yetu ya chama tunaifuata au tunalazimisha wengine tu?...

Dr Slaa ameulizwa swali amejibu kwa fikra zake huru, sisi tayari tunasema katumwa ( this is personal attack), tukikite kupambana na hoja zake aka tuattack hoka zake kwa kuzicounter na hoja zetu kali na waungwana tupime tuone nani yuko sawa...
 
Jifunzeni uvumilivu wa kusikia vitu ambavyo haviburudishi masikio yenu kisiasa.
 
Ndiyo siasa za Tanzania hizi, ukitaka cheo/kula lazima uuze uongo, Ubalozi aliopata kutoka kwa JPM sijui umekwisha sasa anauza uongo kwa huyu wa sasa, inachosha sana. Kwani CCM imeteka wangapi na imefanya ukatili kiasi gani? Slaa ungenyamaza tu na kuendelea kusali, hiyo unayofanya ni dhambi. Wewe ulikuwa mmoja kwenye kundi!
 
Laana zina msumbua Sana kwa umri wake aachane na upumbavu, haya nimahangaiko ya laana, tujifunze hasa
 
Uko sahihi Kabisa ila hauko SAWA! Slaa hajajenga hoja yoyote Ile. Ametoa shutuma Tena za kiwango Cha juu sana. Yeye alikua Katibu Mkuu aliwezaje kukaa kimya kwa tuhuma kubwa kiasi hiki? Police wangekua na akili wangeanza nae, pili, CHADEMA Wana sababu Gani ya kumuuliza mtu wake mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…