Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mara apande Baiskeli, mara Troli na saa nyingine unaona kama vile amelazishwa kufanya baadhi ya matukio.
Ni kweli CCM ilishakufa na hakuna namna ya kuizindua tena si Makonda wala nani.
Kwani mpaka imwshindikana wakaamua kumtafuta mtu waloyemtupa nini ilikuwa shida?
Ccm imemshinda Mjema, imamahinda Kihongosi na wengine akina Chongolo Makonda ataweza nini?
Wananchi tunaishia kucheka tu. Vituko na maigizo ya Mh Makonda.
Hatujui kaja kueneza nini? Au kaja kueneza hadaaa na sanaaa zisizo kuwa na maana kwa Wananchi.
Sisi wananchi tungemwelewa kama angeagiza Serikali yake ifanyie kazi Ripoti ya CAG iliyothibitisha wizi wa mali za umma kwa watu binafsi na familia zao.
Sisi wananchi hatumwelewi kwa sababu Msimu huu ni wa Mvua kila kona ya Nchi Alhamdullilah Mungu ameturuzuku na Mvua hivyo watu wote yatupasa tuwe mashambani tukiandaa mashamba na kupanda badala ya mtu mmoja kukusanya watu na kuwapotezea muda.
Jpm hakuwa hivyo. Alipiga marufuku siasa za majukwaani ili watu wafanya kazi.
Sasa huyu mwamba zaidi ya kuongea ongea tu maneno meengi ambayo hata hao anaowaagiza hakuna anyetekeleza.
Matamko na maagizo mengi baadhi ya watu wamedokeza kuwa hakuna anyetekeleza zaidi ya kuishia majukwaani.
Ingetosha Katibu mwenezi kufanya mikutano ya ndani kuimarisha chama kilichokosa ushawishi kwa Wananchi Huru.
Je kilichomshinda Mh Kinana, Mh Makamba, Mh Mjema, Mh Chongolo, hayati Dr Jpm, Mh Dr Samia, Dr Bashiru, Mh Polepole Mh Makonda atakiweza?
Ngoja tujipe muda