Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Watu mna vituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna vituko
Unaweza weka screenshot mkuuKagasheki amekuwa wa kwanza kuonya kwamba huyu Mwenezi sasa afungwe mdomo, kuropoka kwake hakuvumiliki.
Ili na sisi tuoneUnaweza weka screenshot mkuu
Unaweza weka screenshot mkuu
ShukraniKagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi
Ameandika Khamis Kagasheki "Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”...www.jamiiforums.com