Anayenipenda mimi Moniccca awe na sifa hizi:

Anayenipenda mimi Moniccca awe na sifa hizi:

ni haki yako kutoa maoni yako Monicca ila ....
kuna sifa zingine ukizing'angania utapata majini mahaba
 
Mwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye anaona katumia!

Mwanaume anayejua mapenzi na tendo husika. Siyo unakwenda round tatu upo hoi unageukia na ukutani.
Angalau uwe na kauwezo ka kwenda round saba au nane.

Ambaye naweza mgeuza nitakavyo.

Anayefua boxer kila siku. Maana wanaume wengi hasa walio sinngle hawafui boxer zao mpaka zinanuka looh! Wa hivyo mie moniccca simuwezi.
Ni hayo tu.

Habari yako mdada!! Kujua kutumia pesa sio Mapenzi maana hayo matumizi yako uliyoongelea yote sio ya maendelea wala ya kushindwa mwanaume yoyote mkamilifu...kwanza shopping hamuwezi kwenda kila siku au kila wiki....you think ni issue kubwa sana kufanya shopping ya lak 5 kwa kila baada ya miezi? au 2.5 kwa kila mwez?????

Kwenda round 3 au hata 5 sio kujua mapenzi mama!! unaonyesha wazi kuwa umekutana na wanaume ambao hawajui mapenz sana maana one round inawezakuwa sawa na 5 round kama unajua ways na jinsi ya kufanya tende lenyewe........

Unaweza Geuzwa wewe kwa one round ukashindwa kabisa kugeuka tena.........

Hakuna mwanaume kamili anayeweza vaa boxer 2 days bila ya kufua..... kama yupo naomba niseme wazi kuwa yeye si ''Gentleman'' kabisaa.....

Naomba ni PM nikueleze na mengne zaidi kama hutojali
 
Kuwa mwanamke wa37-40 unaishi peke yako matatizo yake ndiyo haya!! Pole moniccca tafuta hata kaa serengeti boys kape ajira ya u-houseboy kawe kanakukojoza upunguze stress!
 
Kumbe wewe ni miongoni mwa yale mazombi ya Facebook yanayoposti picha na kuweka maelezo kama uliyoweka!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye anaona katumia!

Mwanaume anayejua mapenzi na tendo husika. Siyo unakwenda round tatu upo hoi unageukia na ukutani.
Angalau uwe na kauwezo ka kwenda round saba au nane.

Ambaye naweza mgeuza nitakavyo.

Anayefua boxer kila siku. Maana wanaume wengi hasa walio single hawafui boxer zao mpaka zinanuka looh! Wa hivyo mie moniccca simuwezi.
Ni hayo tu.
hyo mbona atari monicca naweza ila ya pesa apo mmmm make kuna sku utapata na utakosa
 
Mwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye anaona katumia!

Mwanaume anayejua mapenzi na tendo husika. Siyo unakwenda round tatu upo hoi unageukia na ukutani.
Angalau uwe na kauwezo ka kwenda round saba au nane.

Ambaye naweza mgeuza nitakavyo.

Anayefua boxer kila siku. Maana wanaume wengi hasa walio single hawafui boxer zao mpaka zinanuka looh! Wa hivyo mie moniccca simuwezi.
Ni hayo tu.
Mwenye dushelele kubwa humtaki
 
huyo labda umuunde umuwekee na software awe unayotaka ki ukwel me boxer cfui
 
Back
Top Bottom