leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
unataka nn mbona kama mwanasiasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye anaona katumia!
Mwanaume anayejua mapenzi na tendo husika. Siyo unakwenda round tatu upo hoi unageukia na ukutani.
Angalau uwe na kauwezo ka kwenda round saba au nane.
Ambaye naweza mgeuza nitakavyo.
Anayefua boxer kila siku. Maana wanaume wengi hasa walio sinngle hawafui boxer zao mpaka zinanuka looh! Wa hivyo mie moniccca simuwezi.
Ni hayo tu.
Sifa ninazo kupitiliza moniiNije wapi sasa mbona hufunguki? Lakn sifa unazo?
hyo mbona atari monicca naweza ila ya pesa apo mmmm make kuna sku utapata na utakosaMwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye anaona katumia!
Mwanaume anayejua mapenzi na tendo husika. Siyo unakwenda round tatu upo hoi unageukia na ukutani.
Angalau uwe na kauwezo ka kwenda round saba au nane.
Ambaye naweza mgeuza nitakavyo.
Anayefua boxer kila siku. Maana wanaume wengi hasa walio single hawafui boxer zao mpaka zinanuka looh! Wa hivyo mie moniccca simuwezi.
Ni hayo tu.
Mwenye dushelele kubwa humtakiMwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye anaona katumia!
Mwanaume anayejua mapenzi na tendo husika. Siyo unakwenda round tatu upo hoi unageukia na ukutani.
Angalau uwe na kauwezo ka kwenda round saba au nane.
Ambaye naweza mgeuza nitakavyo.
Anayefua boxer kila siku. Maana wanaume wengi hasa walio single hawafui boxer zao mpaka zinanuka looh! Wa hivyo mie moniccca simuwezi.
Ni hayo tu.
haaaaaa apo balaaa sifa kaztoa utamtibua uyoMwenye dushelele kubwa humtaki
haaaaa unatsha ni hiari hyo so lazma au siyohuyo labda umuunde umuwekee na software awe unayotaka ki ukwel me boxer cfui