Anayenipenda mimi Moniccca awe na sifa hizi:

ni haki yako kutoa maoni yako Monicca ila ....
kuna sifa zingine ukizing'angania utapata majini mahaba
 
Huyu Monicca ni shida nafikiri inahitajika kuandaliwa kamati maalum ya kumtumbua
 

Habari yako mdada!! Kujua kutumia pesa sio Mapenzi maana hayo matumizi yako uliyoongelea yote sio ya maendelea wala ya kushindwa mwanaume yoyote mkamilifu...kwanza shopping hamuwezi kwenda kila siku au kila wiki....you think ni issue kubwa sana kufanya shopping ya lak 5 kwa kila baada ya miezi? au 2.5 kwa kila mwez?????

Kwenda round 3 au hata 5 sio kujua mapenzi mama!! unaonyesha wazi kuwa umekutana na wanaume ambao hawajui mapenz sana maana one round inawezakuwa sawa na 5 round kama unajua ways na jinsi ya kufanya tende lenyewe........

Unaweza Geuzwa wewe kwa one round ukashindwa kabisa kugeuka tena.........

Hakuna mwanaume kamili anayeweza vaa boxer 2 days bila ya kufua..... kama yupo naomba niseme wazi kuwa yeye si ''Gentleman'' kabisaa.....

Naomba ni PM nikueleze na mengne zaidi kama hutojali
 
Kuwa mwanamke wa37-40 unaishi peke yako matatizo yake ndiyo haya!! Pole moniccca tafuta hata kaa serengeti boys kape ajira ya u-houseboy kawe kanakukojoza upunguze stress!
 
Kumbe wewe ni miongoni mwa yale mazombi ya Facebook yanayoposti picha na kuweka maelezo kama uliyoweka!
 
Reactions: BAK
Nina mashaka na jinsia yako...wewe utakua ME sio bure...
 
We si ulisema umeolewa?? Au unazingua watu tu humu? Una ndimi mbili
 
hyo mbona atari monicca naweza ila ya pesa apo mmmm make kuna sku utapata na utakosa
 
Mwenye dushelele kubwa humtaki
 
huyo labda umuunde umuwekee na software awe unayotaka ki ukwel me boxer cfui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…